Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchamba kwingi mwisho unashika mavi!Waziri Makamba, huku mkoani (mkoa kapuni kwa Sasa) wememaliza gesi ulio waletea. Sasa wanataka wajue wanaenda kujaza wapi?
Wengenine hawana hela ya kujaza geti.
Mnawasaidiaje?
Dah nimecheka kwa huzuni mpaka basi dah Tanzania yangu mimi.Mitungi ifanywe vigoda vya kukalia wakipika jiko la kuni[emoji28][emoji28]
Mtu anautumia ujinga wa mama zetu vibaya kule kijijini,ni madharau sana.Dah nimecheka kwa huzuni mpaka basi dah Tanzania yangu mimi.
Wale maharage kwa wingi kisha wakalie mtungi, gesi itajaa.Waziri Makamba, huku mkoani (mkoa kapuni kwa Sasa) wememaliza gesi ulio waletea. Sasa wanataka wajue wanaenda kujaza wapi?
Wengenine hawana hela ya kujaza geti.
Mnawasaidiaje?
Kama mlioko mjini walishawafanya wajinga mama zenu si ndio zaidiMtu anautumia ujinga wa mama zetu vibaya kule kijijini,ni madharau sana.
Uwezo wao wa kununua ni msimu wa mavuno.. na pia hakuna supply.Yeye mwenyewe anasema anataka kuacha Legacy kwa kugawa mitungi ya gesi kupromote utunzaji wa mazingira, little did he know that hizo gesi watatumia mara moja tu zikiisha mitungi inaingia stoo, wananchi tulio wengi hatuna uwezo wa kumudu gharama za mkaa achilia mbali hiyo gesi.