Waziri Masauni awasili Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi kutembelea Makambi ya wakimbizi

Waziri Masauni awasili Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi kutembelea Makambi ya wakimbizi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
photo_2024-06-05_20-37-09.jpg
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (kushoto) baada ya kuwasili mkoani humo kwa ziara ya kikazi ambayo inahusu masuala yanayohusu Wakimbizi waliopo katika makambi yanayopatikana mkoani humo.

Wengine ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Sudi Mwakibasi na Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Kambi na Makazi, Kamishna wa Polisi, Mohammed Hassan.
 
Back
Top Bottom