Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Covid nao bado wapo ndani ya nyumba
Mara ni haki wala sio msingi; kazi kwelikweliWanasema hamu ya tendo la ndoa sio kama njaa ikizidi inaweza kukuua, ni haki ya msingi, lakini tena anasema sio ya lazima..
Halafu mbele anasema, tutakaporekebisha miundombinu wataruhusu hayo mambo yafanyike, sasa kama shida ni miundombinu si angesema tu moja kwa moja kuliko kuzunguka bila sababu.
Kwa namna magereza yetu yalivyojazana wafungwa, sidhani kama hiyo miundombinu ikiwepo itaweza kukidhi mahitaji ya wafungwa wote, lazima kwanza wapunguze misongamano magerezani ili kuendana na hali halisi.
Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa
Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Yussuf Masauni amesema mchakato wa haki ya faragha kwa wafungwa kukutana na wenza wao utaanza kutolewa pale ambapo mifumo ya kisheria na miundombinu ya magereza itakapokidhi kutolewa kwa haki hiyo.
Amesema pamoja na hivyo suala la tendo la ndoa ni haki ya mfungwa lakini si haki ya msingi, kwa kuwa haki za msingi ni chakula, mavazi na malazi.
Waziri Masauni amesema “Itakapofika muda wa kuanza mchakato huo tutazingatia mila, usalama, desturi za Watanzania, wakati wmingine siyo jambo zuri kila mtu kujua hawa wanaenda kufanya tendo la ndo.”
hata wakizijadili tunatakiwa kuwakataa kabisa.Wasipojadili tozo.
Wananchi tutawakataa.
Wajadili? Kwani ilipitishwa na nani Kama haohao unaosema waijadili?.Wasipojadili tozo.
Wananchi tutawakataa.
Covid nao bado wapo ndani ya nyumba
Kweli kabisa. Wengine hatukujua hata kama linaanza leo!!Hili bunge limepoteza sana mvuto
Nani kasema wanategemea kura Yako/ upige ama usipige watapita tu tena kwa kishindo.Wasipojadili tozo.
Wananchi tutawakataa.
ILa kwake yeye kufanya ngono ni sahihi?Waziri Masauni: Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwa Wafungwa
Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Yussuf Masauni amesema mchakato wa haki ya faragha kwa wafungwa kukutana na wenza wao utaanza kutolewa pale ambapo mifumo ya kisheria na miundombinu ya magereza itakapokidhi kutolewa kwa haki hiyo.
Amesema pamoja na hivyo suala la tendo la ndoa ni haki ya mfungwa lakini si haki ya msingi, kwa kuwa haki za msingi ni chakula, mavazi na malazi.
Waziri Masauni amesema “Itakapofika muda wa kuanza mchakato huo tutazingatia mila, usalama, desturi za Watanzania, wakati wmingine siyo jambo zuri kila mtu kujua hawa wanaenda kufanya tendo la ndoa.”