Mwanakijiji et all,Yeye ndiyo Waziri aliyesema jambo; na yeye mwenyewe kalifuta. Yote mawili yako ndani ya uwezo wake. Sasa, kujaribu kuonesha kuwa kwa vile jambo ambalo yeye alilisema baadaye kaona kuwa hakuna ulazima wa kulitekeleza katika piramidi ya vitu vya muhimu kwake siyo kumtendea haki.
Nadhani tumekubali mwanzoni alisema maneno ambayo hayakuwa na hekima sana na yalikuwa ya kusetup yeye mwenyewe; lakini pia tukubali kuwa hekima imeshinda. Japo kwa wengine wangependa kuona hiyo showdown kati ya mwanasiasa mfanyabiashara, na mfanyabiashara mpenda siasa..
Kama ni mpira, timu zote hazikufia uwanjani; mashabiki rudini majumbani kwenu.
Mwanakijiji et all,
Masha kakubali kushindwa,amekataa kufanya kile alichoamini ni sahihi na hii itapelekea kuanguka kwake kisiasa.Time will tell
Naju unafurahi sababu umejua pa kumshikia pale atakpokuja kuna tena kuzungumza..
Mtakumbuka wakati Flani mkulu alikuwa akitoa kauli tata sana na alipogundua anachemeka akaamua kuwaachia kina slabva wachemke
Kiongozi yeyote wa jamii sifa yake moja ni mtu makini;
sasa unapokuwa na viongozi katika serikali ambao wanalopokalopoka mambo then ujue kuna walakini katika mfumo mzima wa uteuzi wao na hilo speaks a lot about the appointing authority!!
Mwanakijiji, huyu bwana alilopoloka mambo yaliyo huzunisha jamii kwahiyo kusema kuwa kwa vile yeye ndiye aliyetoa altimatum ya kumuadabisha Mengi na yeye anaweza kuifuta altimatum hiyo bila maelezo ya kina si sahihi!!
Masha ana wajibu wa kuelezea jamii kwanini amewithdraw altimatum yake.
Mengi alimshtumu waziri wa serikali kuwa anataka kuleta hujuma; waziri huyo Mengi hajamtaja mpaka sasa na ni muhimu serikali ikamfahamu kwani hafai kuwa kiongozi wa serikali.
1.sidhani kama kutomchukulia hatua Mengi kutamuangusha kisiasa; labda kitu kingine.
2.Nashangazwa mara zote na watu wanaojua kilichomo ndani ya ubongo wangu. Una kipaji kweli.
1.Nafurahi kusikia hivyo,na i quote your word na siku nyingine usije ukaanz kukumbushia mambo haya kama Masha akikosea kutoa kauli tena,I know you well when it comes a tie you want someone to step out
2.Nadhani kukusoam sana kuhusu habariz ao kunanifanya niweze kujua unataka kusema nini hata kabla haujaanza kusema.Ni uwezo nilio nao tu
Yeye ndiyo Waziri aliyesema jambo; na yeye mwenyewe kalifuta. Yote mawili yako ndani ya uwezo wake. Sasa, kujaribu kuonesha kuwa kwa vile jambo ambalo yeye alilisema baadaye kaona kuwa hakuna ulazima wa kulitekeleza katika piramidi ya vitu vya muhimu kwake siyo kumtendea haki.
Nadhani tumekubali mwanzoni alisema maneno ambayo hayakuwa na hekima sana na yalikuwa ya kusetup yeye mwenyewe; lakini pia tukubali kuwa hekima imeshinda. Japo kwa wengine wangependa kuona hiyo showdown kati ya mwanasiasa mfanyabiashara, na mfanyabiashara mpenda siasa..
Kama ni mpira, timu zote hazikufia uwanjani; mashabiki rudini majumbani kwenu.
Si kweli; kiongozi wa kijamii ana sifa zaidi ya moja.
....
Ni sahihi kwa sababu, hakuna mahali ambapo panamkataza Waziri kufuta kauli yake au uamuzi wake wa awali. Kama alikuwa na uwezo wa kusema alichosema nina uhakika ana uwezo wa kufuta alichokisema. Hata hukumu ya kifo yaweza kufutwa!
Mkuu Mwanakijiji, kupima upepo wa kasheshe lenyewe ndio ukubwa.Masha atapata credits kwa kukaa kumya baada ya kuona sakata lenyewe halimsaidii kwa vyovyote,sana sana litamharibia.Waswahili walisema"funika kombe wa....... wapite"
anaposema kuwa ameachana nalo, maana yake amelifuta. na anaposema kuwa wanashughulikia sms, maana yake ni hiyo. Kama waziri ana nguvu hizo. SIjui kwanini unataka liwe kubwa kuliko lilivyo.
Mwanzoni alionesha jazba ya ujana, na sasa ameonesha utulivu wa utu uzima. Kwa hili miye sina tatizo kabisa. So.. endeleeni kudhani kuna tatizo. Waziri kasema wameachana na la Mengi, and that settles it! Hata mahakamani mtu anaweza kuamua kufuta kesi aliyoileta mwenyewe.
......
Mwanzoni alionesha jazba ya ujana, na sasa ameonesha utulivu wa utu uzima. Kwa hili miye sina tatizo kabisa. So.. endeleeni kudhani kuna tatizo. Waziri kasema wameachana na la Mengi, and that settles it! Hata mahakamani mtu anaweza kuamua kufuta kesi aliyoileta mwenyewe.
Nafikiri mawaziri inabidi watulie kabla hawajatoa tuhuma kwa mzee Mengi, kwani hata Masilingi alikurupuka na baadaye kuishia patumu. mzee Mengi huwa akurupuki tuu na akisema kitu anazo evidence za kutosha