Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ezekiel mmbaga banaHata bao la kwanza liko speed kuliko hiyo treni yenu
Wapare na ngono ni uji na mgonjwa hahaHata bao la kwanza liko speed kuliko hiyo treni yenu
Hekaya za Abumuwasi zinaendelea!
Hekaya za Abumuwasi zinaendelea
duhHata bao la kwanza liko speed kuliko hiyo treni yenu
Alisomea wapi u injinia huyu mwamba?Sikuwa najua Profesa Mbarawa ni 'Engineer' na ndie anayepaswa "kuridhika" na "uzuri" au ndio kusema perfomance za vichwa vya treni?
Haya basi.
Ndio hapo sasa.Alisomea wapi u injinia huyu mwamba?
Hivi Hawa watu wakienda ulaya, china na Japan, Yale matreni ya kule hawayaoni?Ndio hapo sasa.
Kama nimeelewa vizuri, tafsiri yangu ni kwamba, eti 'Mbarawa ameridhika' na hivyo basi TRC nao wameridhika?