Waziri Mchengelwa, watu wanakuchukulia poa! Hebu onesheni makucha

Waziri Mchengelwa, watu wanakuchukulia poa! Hebu onesheni makucha

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,914
Reaction score
3,386
Tayari mezani unazo ripoti kazi nne ambazo TAKUKURU wanatakiwa wafanye kazi na tuone watu wamewajibishwa

1. Ripoti ya Wizi wa Madini ya Tanzanite Mererani
2. Ripoti ya Ufisadi Bandari
3. Ripoti ya CAG
4. Ripoti ya BOT

Sasa ni wakati wa wananchi kusikia nani na nani walihusika na warudishe fedha za Umma

Hii ni Serikali ya Awamu ya Sita
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
 
Ukiona bunge linatunga sheria ya kulinda viongozi wa mihimili dhidi ya mashitaka. Jua hakuna lolote ni wizi mtupu wengi wanaoonewa ni watumishi ambao ni dagaa tu ila wanasiasa ambao ndio wezi mapapa hawagushwi kamwe.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine tumpe mda bado anajiuliza atoke vipi kama Bwana misosi,au pengine ni kama Tigo live it love it, au kama voda yajayo yanafurahisha.
 
Back
Top Bottom