Ukiona bunge linatunga sheria ya kulinda viongozi wa mihimili dhidi ya mashitaka. Jua hakuna lolote ni wizi mtupu wengi wanaoonewa ni watumishi ambao ni dagaa tu ila wanasiasa ambao ndio wezi mapapa hawagushwi kamwe.
Tayari mezani unazo ripoti kazi nne ambazo TAKUKURU wanatakiwa wafanye kazi na tuone watu wamewajibishwa.
1. Ripoti ya Wizi wa Madini ya Tanzanite mererani...