MTETEZI WA WANYONGE
Member
- May 30, 2014
- 47
- 23
Kumbe wewe ndiye yule ticha smart kichwani ?!!! [emoji1787][emoji1787]Tembea taratibu,huyu mama aliwahi nitishia kuwa hawezi nipa ukuu wa shule kisa nimetofautiana naye kimtazamo,hatari sana yaani
Ikulu ipi?!!Mafisadi wako Ikulu na huyu mchengerwa ni sehemu yao!
Ndiyo katumbuliwa auTembea taratibu,huyu mama aliwahi nitishia kuwa hawezi nipa ukuu wa shule kisa nimetofautiana naye kimtazamo,hatari sana yaani
Drama as usual.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Mohamed O. Mchengerwa (Mb), amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega moani Simiyu, ndugu Veronica Vicent Sayore, kuanzia leo tarehe 22 Septemba, 2023 ili kupisha chunguzi.
Mheshimiwa Mchengerwa, amechukua hatua hiyo baada ya kupokea malalamiko kuhusu utendaji kazi usioridhisha, kutokuwa na ushirikiano na viongozi wenzake pamoja na kutowashirikisha watendaji katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Kutokana na tuhuma hizo, Mheshimiwa Waziri Mchengerwa amemwelekeza Katibu Muu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI kunda timu ya uchunguzi wa mwenendo wa utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo pamoja na matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega.
Aidha, Mheshimiwa Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, kusimamia dhana ya ushirikishwaji wa viongozi, watendaji na wananchi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kuimarisha mahusiano mazuri baina ya viongozi na watendaji ili kujenga timu yenye umoja katika kutekeleza jukumu la kuwahudumia wananchi.
Inahusu nini?mkwe kama mkwe.
"jamaa" yupi?Huyo jamaa nae skuizi anajifanya mungu mtu
Mchengerwa"jamaa" yupi?
Anaesingiziwa u"Mungu" mtu nimjuwae ni Yesu peke yake au karudi tena?
Mchengerwa wazziri wa Tamisemi, na huu uzi unasema kamsimamisha mtu kazi kupisha uchunguzi.Mchengerwa
Sisemi kituMchengerwa wazziri wa Tamisemi, na huu uzi unasema kamsimamisha mtu kazi kupisha uchunguzi.
Kuna muujiza upi hapo uliokufanya wewe kumgeuza kuwa Yesu?
Au wewe ndiyo mke mwenyewe?kama hujui inahusu nini jua haikuhusu.
Au wewe ndiyo mke mwenyewe?
Katika nchi iliyo-oza hii nadhani hii is fighting a loosing better.Anyway, I wish him all the best.Uwajibikaji unatakiwa kuanzia juu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Mohamed O. Mchengerwa (Mb), amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega moani Simiyu, ndugu Veronica Vicent Sayore, kuanzia leo tarehe 22 Septemba, 2023 ili kupisha chunguzi.
Mheshimiwa Mchengerwa, amechukua hatua hiyo baada ya kupokea malalamiko kuhusu utendaji kazi usioridhisha, kutokuwa na ushirikiano na viongozi wenzake pamoja na kutowashirikisha watendaji katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Kutokana na tuhuma hizo, Mheshimiwa Waziri Mchengerwa amemwelekeza Katibu Muu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI kunda timu ya uchunguzi wa mwenendo wa utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo pamoja na matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega.
Aidha, Mheshimiwa Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, kusimamia dhana ya ushirikishwaji wa viongozi, watendaji na wananchi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kuimarisha mahusiano mazuri baina ya viongozi na watendaji ili kujenga timu yenye umoja katika kutekeleza jukumu la kuwahudumia wananchi.
Kwa hiyo hutaki wabadhirifu wachukuliwe hatua!?Huyo jamaa nae skuizi anajifanya mungu mtu
Unajua nime maanisha niniKwa hiyo hutaki wabadhirifu wachukuliwe hatua!?