Waziri Mchengerwa amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Busega, kupisha Uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili

Wakati mwingine ni ujinga na upumbavu wa hao maDED....unawezaje kufanya kazi bila ya kushirikiana wenzako ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]

Hata mfalme anashirikisha watu....

Watu aina ya huyo DED hawatufai hata chembe....

KIBURI
 
Tembea taratibu,huyu mama aliwahi nitishia kuwa hawezi nipa ukuu wa shule kisa nimetofautiana naye kimtazamo,hatari sana yaani
Kumbe wewe ndiye yule ticha smart kichwani ?!!! [emoji1787][emoji1787]

Kongole komredi[emoji120]

Unastahili makubwa zaidi ya ulipo....
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Mohamed O. Mchengerwa (Mb), amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega moani Simiyu, ndugu Veronica Vicent Sayore, kuanzia leo tarehe 22 Septemba, 2023 ili kupisha chunguzi.

Mheshimiwa Mchengerwa, amechukua hatua hiyo baada ya kupokea malalamiko kuhusu utendaji kazi usioridhisha, kutokuwa na ushirikiano na viongozi wenzake pamoja na kutowashirikisha watendaji katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Kutokana na tuhuma hizo, Mheshimiwa Waziri Mchengerwa amemwelekeza Katibu Muu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI kunda timu ya uchunguzi wa mwenendo wa utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo pamoja na matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega.

Aidha, Mheshimiwa Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, kusimamia dhana ya ushirikishwaji wa viongozi, watendaji na wananchi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kuimarisha mahusiano mazuri baina ya viongozi na watendaji ili kujenga timu yenye umoja katika kutekeleza jukumu la kuwahudumia wananchi.
Drama as usual.

Aliyesaini Mkataba wa DP World yupo ofisini na walinzi kibao. Anapaswa aanze kujitathmini yeye na kukaa pembeni kisha mengine yafuatie
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Mohamed O. Mchengerwa (Mb), amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega moani Simiyu, ndugu Veronica Vicent Sayore, kuanzia leo tarehe 22 Septemba, 2023 ili kupisha chunguzi.

Mheshimiwa Mchengerwa, amechukua hatua hiyo baada ya kupokea malalamiko kuhusu utendaji kazi usioridhisha, kutokuwa na ushirikiano na viongozi wenzake pamoja na kutowashirikisha watendaji katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Kutokana na tuhuma hizo, Mheshimiwa Waziri Mchengerwa amemwelekeza Katibu Muu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI kunda timu ya uchunguzi wa mwenendo wa utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo pamoja na matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega.

Aidha, Mheshimiwa Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, kusimamia dhana ya ushirikishwaji wa viongozi, watendaji na wananchi katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo pamoja na kuimarisha mahusiano mazuri baina ya viongozi na watendaji ili kujenga timu yenye umoja katika kutekeleza jukumu la kuwahudumia wananchi.
Katika nchi iliyo-oza hii nadhani hii is fighting a loosing better.Anyway, I wish him all the best.Uwajibikaji unatakiwa kuanzia juu.
 
Back
Top Bottom