Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Nimepandisha mara nyingi nyuzi zangu especially zinazohusiana na masuala ya TAMISEMI hasa uhamisho nadhani uliona ndio maana ulimtuma Naibu Katibu Mkuu Charles Msonde. Sina hakika kama ulimtuma wewe au ndo unaendelea na kiburi chako.
Ok Msonde amekuja ila hamna cha maana alichoongea zaidi ya kutoa vitisho, anadai wanagushi nyaraka za kuhama, mara wengine wanaomba kuhama halafu hawahami hivi kwa mfano mtu aliomba kuhama maafisa elimu na wakuu wa shule wamesaini kila kitu halafu wanaendelea kumuhudumia mtu yuleyule hilo kosa ni la nani? Mnataka kuniambia watu wachache ambao ni uzembe wenu kutodeal nao wasababishe wengine wasihame?
Kwanini madai yenu hayana kichwa wala miguu, mambo ya mfumo kwa leo tuachane nao.
Msonde, huyu jamaa ana dharau sana na ni mjuaji hasa na huwa ana maagizo ya kibabe, sijui Walimu anatuonaje. Ujio wake huo alituita siku ya Jumapili saa moja kamili, mkuku mkuku watu wanatoka huko mbali na hata nauli hakuna, je hizi ni dharau gani?Yeye anavyozurura hivyo hana nauli wala posho?
Ila hata kama mnaroga kukalia hivyo viti vyenu tambueni kila lenye mwanzo lina mwisho. Mchengerwa, Mchengerwa, Mchengerwa nimekuita mara tatu.