Waraka unaosambaa mitandaoni unadai kuwa Teachers Service Commission (TSC) imesitisha mara moja mpango wa kuwahamisha walimu waliohitimu kutoka shule za msingi kwenda Junior Secondary School (JSS).
Waraka huo, wenye tarehe 8 Septemba 2026, una kichwa “Discontinuation of the Teacher Deployment...
Umri wangi ni miaka 32, ninajishughulisha na biashara ndogo ndogo. Nilifunga ndoa Mwaka 2017 na mwanamke ambaye ni mtumishi wa Serikali, na tumebarikiwa kupata watoto wawili. Hata hivyo, tangu mwaka huo hadi sasa takribani miaka 9, tumekuwa tukiishi katika mikoa miwili tofauti, hali ambayo...
Nimepandisha mara nyingi nyuzi zangu especially zinazohusiana na masuala ya TAMISEMI hasa uhamisho nadhani uliona ndio maana ulimtuma Naibu Katibu Mkuu Charles Msonde. Sina hakika kama ulimtuma wewe au ndo unaendelea na kiburi chako.
Ok Msonde amekuja ila hamna cha maana alichoongea zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.