Waziri Mchengerwa: Hakuna mgonjwa atakayekosa matibabu kwa kukosa fedha

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Serikali imesema hakuna mwananchi yeyote atakayeenda kwenye Kituo chochote cha kutolea huduma za afya au Hospitali, akakosa kupatiwa matibabu eti kwa sababu hana fedha.

Akizungumza kwenye kikao kazi cha watumishi wa sekta ya afya Mkoa wa Dar es Salaam leo, Jumatatu Desemba 08.2025, Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amesema serikali kupitia Hospitali zake imeweka utaratibu wa kutoa msamaha kwa wananchi wasio na uwezo, jambo ambalo ameelekeza lisimamiwe kikamilifu.

Katika suala hilo, Waziri Mchengerwa ametolea mfano Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambayo kwa mwaka inatoa msamaha usiopungua bilioni 19.

Your browser is not able to display this video.
 
Kauli za miaka 50 nyuma
 
Serikali batili Haina haja ya kujimwambafai mbele yetu.

Hayo maneno akawaeleze familia yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…