BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) asubuhi hii ya leo Alhamisi Mei 30, 2024 atakuwa na Mkutano na Vyombo vya Habari katika Ukumbi wa Video Conference katika Jengo la Sokoine- TAMISEMI Dodoma. Mkutano utaanza saa 5 asubuhi hii.
Watanzania wote mnasisitizwa sana kufuatilia.
