BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Ataongelea uchafuzi wa serikali za mitaa na kufungua dirisha la kutuma maombi ya ajira kiduchu. Ataleta longolongo kidogo kwenye suala la lile bwawa na hali ya Rufiji kwa sasa.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) asubuhi hii ya leo Alhamisi Mei 30, 2024 atakuwa na Mkutano na Vyombo vya Habari katika Ukumbi wa Video Conference katika Jengo la Sokoine- TAMISEMI Dodoma. Mkutano utaanza saa 5 asubuhi hii.
Watanzania wote mnasisitizwa sana kufuatilia.
Lijinga sanaAtaongelea uchafuzi wa serikali za mitaa na kufungua dirisha la kutuma maombi ya ajira kiduchu. Ataleta longolongo kidogo kwenye suala la lile bwawa na hali ya Rufiji kwa sasa.
mim sifahamu hilo unalodhani...Naona makonda kawaficha hawa wote 😄
Eh kumbe mawaziri wapo
Maana wanaosikika mawaziri ni slaa na mkuu mkoa makonda
Haha,au Tlaatlaah unasemajemwanangu
ova
Hufahamu nini, mbona kama unaogopa 😄mim sifahamu hilo unalodhani...
ninachojua ni kwamba mawaziri wote wa serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais na kiongozi wetu wa nchi, comrade Dr Samia Suluhu Hassan wanafanya kazi na majukumu yao vizuri sana, kwa weledi, mkubwa kuambatana na ilani ya uchaguzi ya ccm na maelekezo ya Rais....
kipekee zaidi,
kuambatana na viongozi wengine Paul Christian Makonda na Jerry Silaa wamekua wakitekeleza wajibu wao, kwa aina na mitindo tofauti, na ya kipekee sana ukilinganisha na viongozi wengine, tena bila kuvunja sheria wala katika ya nchi , ispokua kuchochea uwazi na uwajibikaji 🐒
mim niogope, kweli?Hufahamu nini, mbona kama unaogopa 😄
Ova
Hapo tutarajie ngonjera za kumsifu Mwenyekiti!
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) asubuhi hii ya leo Alhamisi Mei 30, 2024 atakuwa na Mkutano na Vyombo vya Habari katika Ukumbi wa Video Conference katika Jengo la Sokoine- TAMISEMI Dodoma. Mkutano utaanza saa 5 asubuhi hii.
Watanzania wote mnasisitizwa sana kufuatilia.
hivi ukiniona na kuniangalia vizuri, mimi ni mtu wa kuogopa, kutishika au kutishwa kweli?Basi basi yameisha mwanangu 😄
Ova
Hii sentence iwafikie kwa ukubwa sana miguru kwa kuwafanya WaTz mavuno bila kupanda. Imfikie kwa ukubwa wa kati February hawa ni sehemu siwakubali kabisaMjinga,jeuri,hopeless,lolote limpate
MkweYeye ni tume au yeye ni nani
Yanakera mnoHii sentence iwafikie kwa ukubwa sana miguru kwa kuwafanya WaTz mavuno bila kupanda. Imfikie kwa ukubwa wa kati February hawa ni sehemu siwakubali kabisa
AmesemajeMh Waziri Mchengerwa, ikupendeza utolee MAAMUZI/TAMKO suala la UHAMISHO wa Wafanyakazi kwa mwezi huu wa JUNE,2024...wafanyakazi wamekata tamaa