Huyu tuliambiwa ana kifua kipana, anafaidi binti yetu
Labda ameishatunga kanuni za uchavuzi wa serikari ya mtaa
Anataka kutoa taarifa
Au anatafuta jukwaa la kumsifia mkwe
Mkwe Atatajwa kuliko aichodhamiria kukisema, sijui hii formula wamelazimwa na ccm