Mheshimiwa waziri agizo lako la kumtuma naibu waziri kutembelea Halmashauri ambazo wakurugenzi hawajawalipa hela za kujikimu waajiriwa wapya halistahili Tu pongezi Bali na kuungwa mkono pia.
Ila hapa nimetembelea wailayani Kilwa kwenye hospital ya Kinyonga nimekutana na malalamiko ambayo pia yanahitaji hekima na mamlaka yako kuyatatua ni mengi Ila makubwa ni haya:
Waajiriwa wa toka mwaka Jana hawajalipwa mishahara yao ya mwezi wa July na August mwaka 2022 na hakuna dalili za kulipwa Leo ikiwa ni zaidi ya mwaka na robo.
Pili madaktari wa hapa wanalalamika kuwa tofauti na madaktari wa Halmashauri na mikoa mingine wao hapa hawajalipwa on call allowance kwa miezi sita sasa, na walipokuwa wanalipwa wanapunjwa.
Wanalipwa laki na nusu kwa malipo ya miezi mitatu wakati madaktari wa Halmashauri nyingine kwa muda huo huo wanalipwa shilingi 450,000/ Hadi 600,000/.
Semina ni za wateule pekee, kuna wanaokuwa likizo lakini zikitokea semina anaitwa anaenda semina analipwa kisha anarudi likizo.
Wanaomba msaada wako ili na wao wapewe haki zao.
Mimi RAIA mwaminifu