Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
UmenenaNimekufuatilia ktk threads nyingi. Unaumia sana na uelekeo aliochukuwa Mama. Mama hawezi kuwa Maghufuli na Maghufuli hawezi kuwa Mama. Kila mtu ana namna yake ya uongozi.
Nchi haiwezi kujifungia kwenye kivuli cha mwendazake.
Unatakaje, wasiende? Kwani hakuna taratibu za kusaini mikataba.Wanataka wakaanze kudiskasia mikataba Ulaya
Hawakudanganya kuhusu uchumi wa wakati. Maana Jiwe na wafuasi wake walikuwa uchumi wa kati na pengine wa juu kabisa, kupitia pesa walizokuwa wanaiba kwa mgongo wa maendeleo.Jamaa kweli aliharibu, halafu wanatudanganya uchumi wa kati.
Halafu siyo kwamba labda mnafungiana ndani kuna jambo la maana mnafanya. HakunaSafi sana.
Safari ni fursa, ni exposure, ni kupanua fikra, ni kuona wengine wanaishije
Mambo ya kufungiana ndani utadhani nguo kwenye kabati ni mambo ya ajabuajabu.
Let people have freedom of movement
Enzi za JK watu walipanua Sana fikra, walitusaidiaje Kama taifa? Au mradi kusafiri tu?Safi sana. Safari ni fursa, ni exposure, ni kupanua fikra, ni kuona wengine wanaishije.
Mambo ya kufungiana ndani utadhani nguo kwenye kabati ni mambo ya ajabuajabu.
Let people have freedom of movement.
Unategemea kuletewa Mambo gani mazuri mwenzetu?Safi kabisa hata kama mm siwezi kwenda wataoenda wataleta mambo mazuri
Kwani haiwezekani..! Kudiskasia bongoUnatakaje, wasiende? Kwani hakuna taratibu za kusaini mikataba.
Muulize sister ako
Ulaya gani hiyo mtakayokwenda ilhali hamtaki kupigwa chanjo za covid-19?Safi sana. Safari ni fursa, ni exposure, ni kupanua fikra, ni kuona wengine wanaishije.
Mambo ya kufungiana ndani utadhani nguo kwenye kabati ni mambo ya ajabuajabu.
Let people have freedom of movement.
Mkuu kwani wewe ni Rais?Ndiyo maana ma-Rais waislam wanaishi muda mrefu kuliko sisi