Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI leo tarehe 15 Agosti, 2024 ametangaza tarehe ya kufanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024 nchi nzima.
Ambapo Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika 27 November, 2024 nchi nzima. Naupigaji wa kura utaanza saa mbili asubuhi na utamalizika saa 10 jioni.