Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amepongeza vyama 19 vya siasa kwa kushiriki kwa uwazi na utulivu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, licha ya baadhi yao kushindwa kupata nafasi mbalimbali za uongozi.
Akizungumza Novemba 28, 2024, jijini Dodoma wakati wa kutangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi huo, Mchengerwa amrwataka wanasiasa kuendelea kushikamana na kujiimarisha kwa chaguzi zijazo, akisisitiza umuhimu wa mshikamano katika kukuza demokrasia ya nchi.
Aidha, amewataka viongozi wa vyama hivyo na wanachama wao kuendelea kushirikiana katika kulijenga taifa kwa kuzingatia uzalendo, huku akiwakumbusha kuwa uchaguzi huu ni hatua moja kati ya chaguzi nyingi zinazofuata.

Aidha, amewataka viongozi wa vyama hivyo na wanachama wao kuendelea kushirikiana katika kulijenga taifa kwa kuzingatia uzalendo, huku akiwakumbusha kuwa uchaguzi huu ni hatua moja kati ya chaguzi nyingi zinazofuata. View attachment 3164824
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amepongeza vyama 19 vya siasa kwa kushiriki kwa uwazi na utulivu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, licha ya baadhi yao kushindwa kupata nafasi mbalimbali za uongozi.
Akizungumza Novemba 28, 2024, jijini Dodoma wakati wa kutangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi huo, Mchengerwa amrwataka wanasiasa kuendelea kushikamana na kujiimarisha kwa chaguzi zijazo, akisisitiza umuhimu wa mshikamano katika kukuza demokrasia ya nchi.
Aidha, amewataka viongozi wa vyama hivyo na wanachama wao kuendelea kushirikiana katika kulijenga taifa kwa kuzingatia uzalendo, huku akiwakumbusha kuwa uchaguzi huu ni hatua moja kati ya chaguzi nyingi zinazofuata.
Wananchi tusitoe ushirikiano wowote kwa hawa mashetani wanaoumiza na kuua watu kwa sababu ya vyeo.
Mungu mwenye huruma na muweza wa yote, kisasi juu ya hawa na wana hadi wana wa wana wao, wanaodhulumu haki za watu wengine hadi kuwaua, ni juu yako, BWANA, tunaomba na kushukuru.