Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa awatolea uvivu wakandarasi wa kigeni ambao ni wababaishaji wanaoshindwa kukamilisha miradi kwa wakati, ataka mikataba yao ivunjwe na warudishe hela zote walizopewa na serikali.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mchengerwa ametoa maagizo hayo leo machi 21 katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa barabara mbalimbali jijini Dar es Salaam DMDPII ambapo jumla ya mikataba 9 yenye thamani ya zaidi ya Tsh Bilioni 200 imesainiwa.