LGE2024 Waziri Mchengerwa: Wanaodai kukatwa ni propaganda, Wagombea hawakati Rufaa kama Kanuni zinavyotaka

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa zilikuwa wazi muda wote na wagombea walipaswa kurejesha fomu za maombi.

Aidha,amesema kanuni zina ruhusa ya kukataa rufaa lakini kinachoendelea sasa ni viongozi wa vyama kitaifa kulalamika huku wagombea wao wakiwa nyumbani hawakati rufaa kama kanuni zinavyoelekeza.

1731415238039.png

Akizungumza leo Novemba 12,2024,Waziri Mchengerwa amesema vyama hivyo vinafanya propaganda kwa kusambaza taarifa kwenye mitandao ya kijamii badala ya kufuata utaratibu wa kikanuni ambao umewekwa.

"Nilisikia eti Iringa,Kilimanjaro wagombea wa CHADEMA wameondolewa, hii si kweli,Novemba 14,2024 tutatoa taarifa za kina na ushahid wote.Vyama havikujiandaa na kupelekea kutoa nafasi kwa chama kimoja kugombea, Hai nafasi ni 60 na CCM Ilisimamisha wagombe wote ila CHADEMA ilisimamisha wagombea 30,sasa hawawezi kulingana na CCM,

"Hatua tuliyonayo ni ya propaganda ya siasa,waandishi mjitenge na propaganda hizi.Mfano diwani mstaafu aliandika kule Rufiji waliweka wagombea katika vijiji 32 na wote wakakatwa,jambo ambalo ni uongo,kwa kuwa Halmashauri ina vijiji 38,na CHADEMA kilisimamisha wagombea wawili."

Mchengerwa amesema Dar es Salaam kuna mitaa 564 ila Diwani Mstaafu anasema kuna mitaa 600,lakini hawakusimamisha wagombea kwenye mitaa yote huku wakieneza taarifa za uongo.

Soma, Pia: Mchengerwa: Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi

Waziri huyo amesema kuhusu tafsiri ya umri kuna walioandika wamezaliwa mwaka 2024 maana yake haruhusiwi kugombea.

"Mfano Manispaa ya Kigoma Ujijii wagombea wa ACT Wazalendo walioenguliwa ni 11 na 58 walipitishwa,ila taarifa zao ni kwamba wagombea wote wameondolewa,11 walifuata taratibu za kanuni wakakata rufaa na watano walirejeshwa,na sita waliondolewa kwa changamoto ya umri,ukazi,kutojiandikisha, na udhamini".

Aidha,Mchengerwa amabye ni Mbunge wa Jimbo la Rufiji amesema hata CCM kuna mgombea wao alijaza amezaliwa Oktoba 2024,na kwamba alienguliwa na kwamba hakuna upendeleo bali utekelezaji wa kanuni.

Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024
 
Zile siku mbili za kukata rufaa wasimamizi wa uchaguzi wakafunga ofice wakazima simu, wakaibuka siku ya tatu yake wakakata na majina mengine tena.

Hii nchi inahitaji sijui maombi ama vurugu kwanza ili watu waheshimiane maana hii ni zaidi ya dharau.
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa zilikuwa wazi muda wote na wagombea walipaswa kurejesha fomu za maombi.

Aidha,amesema kanuni zina ruhusa ya kukataa rufaa lakini kinachoendelea sasa ni viongozi wa vyama kitaifa kulalamika huku wagombea wao wakiwa nyumbani hawakati rufaa kama kanuni zinavyoelekeza.

Akizungumza leo Novemba 12,2024,Waziri Mchengerwa amesema vyama hivyo vinafanya propaganda kwa kusambaza taarifa kwenye mitandao ya kijamii badala ya kufuata utaratibu wa kikanuni ambao umewekwa.

"Nilisikia eti Iringa,Kilimanjaro wagombea wa CHADEMA wameondolewa, hii si kweli,Novemba 14,2024 tutatoa taarifa za kina na ushahid wote.Vyama havikujiandaa na kupelekea kutoa nafasi kwa chama kimoja kugombea, Hai nafasi ni 60 na CCM Ilisimamisha wagombe wote ila CHADEMA ilisimamisha wagombea 30,sasa hawawezi kulingana na CCM,

"Hatua tuliyonayo ni ya propaganda ya siasa,waandishi mjitenge na propaganda hizi.Mfano diwani mstaafu aliandika kule Rufiji waliweka wagombea katika vijiji 32 na wote wakakatwa,jambo ambalo ni uongo,kwa kuwa Halmashauri ina vijiji 38,na CHADEMA kilisimamisha wagombea wawili."

Mchengerwa amesema Dar es Salaam kuna mitaa 564 ila Diwani Mstaafu anasema kuna mitaa 600,lakini hawakusimamisha wagombea kwenye mitaa yote huku wakieneza taarifa za uongo.

Soma, Pia: Mchengerwa: Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi

Waziri huyo amesema kuhusu tafsiri ya umri kuna walioandika wamezaliwa mwaka 2024 maana yake haruhusiwi kugombea.

"Mfano Manispaa ya Kigoma Ujijii wagombea wa ACT Wazalendo walioenguliwa ni 11 na 58 walipitishwa,ila taarifa zao ni kwamba wagombea wote wameondolewa,11 walifuata taratibu za kanuni wakakata rufaa na watano walirejeshwa,na sita waliondolewa kwa changamoto ya umri,ukazi,kutojiandikisha, na udhamini".

Aidha,Mchengerwa amabye ni Mbunge wa Jimbo la Rufiji amesema hata CCM kuna mgombea wao alijaza amezaliwa Oktoba 2024,na kwamba alienguliwa na kwamba hakuna upendeleo bali utekelezaji wa kanuni.

Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024
Je hii nayo ni propaganda???
 
Attachments

  • 5810871-156c33252d331784831e630b50148deb.mp4
    2 MB
  • 5811523-6041f5af6e2b5c7600d07027005d6658.mp4
    3.7 MB
  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1 (1).png
    420.8 KB · Views: 4
  • 20240907_095744 (1).jpg
    20240907_095744 (1).jpg
    116.1 KB · Views: 2
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa zilikuwa wazi muda wote na wagombea walipaswa kurejesha fomu za maombi.

Aidha,amesema kanuni zina ruhusa ya kukataa rufaa lakini kinachoendelea sasa ni viongozi wa vyama kitaifa kulalamika huku wagombea wao wakiwa nyumbani hawakati rufaa kama kanuni zinavyoelekeza.

Akizungumza leo Novemba 12,2024,Waziri Mchengerwa amesema vyama hivyo vinafanya propaganda kwa kusambaza taarifa kwenye mitandao ya kijamii badala ya kufuata utaratibu wa kikanuni ambao umewekwa.

"Nilisikia eti Iringa,Kilimanjaro wagombea wa CHADEMA wameondolewa, hii si kweli,Novemba 14,2024 tutatoa taarifa za kina na ushahid wote.Vyama havikujiandaa na kupelekea kutoa nafasi kwa chama kimoja kugombea, Hai nafasi ni 60 na CCM Ilisimamisha wagombe wote ila CHADEMA ilisimamisha wagombea 30,sasa hawawezi kulingana na CCM,

"Hatua tuliyonayo ni ya propaganda ya siasa,waandishi mjitenge na propaganda hizi.Mfano diwani mstaafu aliandika kule Rufiji waliweka wagombea katika vijiji 32 na wote wakakatwa,jambo ambalo ni uongo,kwa kuwa Halmashauri ina vijiji 38,na CHADEMA kilisimamisha wagombea wawili."

Mchengerwa amesema Dar es Salaam kuna mitaa 564 ila Diwani Mstaafu anasema kuna mitaa 600,lakini hawakusimamisha wagombea kwenye mitaa yote huku wakieneza taarifa za uongo.

Soma, Pia: Mchengerwa: Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi

Waziri huyo amesema kuhusu tafsiri ya umri kuna walioandika wamezaliwa mwaka 2024 maana yake haruhusiwi kugombea.

"Mfano Manispaa ya Kigoma Ujijii wagombea wa ACT Wazalendo walioenguliwa ni 11 na 58 walipitishwa,ila taarifa zao ni kwamba wagombea wote wameondolewa,11 walifuata taratibu za kanuni wakakata rufaa na watano walirejeshwa,na sita waliondolewa kwa changamoto ya umri,ukazi,kutojiandikisha, na udhamini".

Aidha,Mchengerwa amabye ni Mbunge wa Jimbo la Rufiji amesema hata CCM kuna mgombea wao alijaza amezaliwa Oktoba 2024,na kwamba alienguliwa na kwamba hakuna upendeleo bali utekelezaji wa kanuni.

Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024
Nafikiri nikisema huyu Mchangerwa ni mpumbavu sitakuwa nimemtukana bali nitakuwa nimeelezea wasifu wake.Anabisha jambo ambalo liko wazi kabisa na ushahidi umeshawekwa humu jinsi watendaji wanavyozikimbia ofisi ili kuwakwepa wagombea wa Chadema walioenguliwa. Hii kibri yake ina mwisho wacha ajishaue tu kukanyaga demokrasia akiamini kuwa anamsaidia mkwewe kumbe anazidi kumchafua.
 
Kuna bei gani kutoa agizo kama waziri mwenye dhamana ya tamisemi kuagiza kwamba wagombea wote walioenguliwa wapewe nafasi ya kufanya marekebisho badala ya kutoa nafasi ya kukata rufaa ambako wasikiliza rufaa nao wana vielement vya uccm!Hata mtu akikata rufaa hawezi rejeshwa labda awe ni mgombea dhaifu ambaye si tishio kwa mgombea wa sisiyemu.Ushauri uliotolewa na Dr kitima ulikuwa muafaka kama hamtaki basi
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa zilikuwa wazi muda wote na wagombea walipaswa kurejesha fomu za maombi.

Aidha,amesema kanuni zina ruhusa ya kukataa rufaa lakini kinachoendelea sasa ni viongozi wa vyama kitaifa kulalamika huku wagombea wao wakiwa nyumbani hawakati rufaa kama kanuni zinavyoelekeza.

Akizungumza leo Novemba 12,2024,Waziri Mchengerwa amesema vyama hivyo vinafanya propaganda kwa kusambaza taarifa kwenye mitandao ya kijamii badala ya kufuata utaratibu wa kikanuni ambao umewekwa.

"Nilisikia eti Iringa,Kilimanjaro wagombea wa CHADEMA wameondolewa, hii si kweli,Novemba 14,2024 tutatoa taarifa za kina na ushahid wote.Vyama havikujiandaa na kupelekea kutoa nafasi kwa chama kimoja kugombea, Hai nafasi ni 60 na CCM Ilisimamisha wagombe wote ila CHADEMA ilisimamisha wagombea 30,sasa hawawezi kulingana na CCM,

"Hatua tuliyonayo ni ya propaganda ya siasa,waandishi mjitenge na propaganda hizi.Mfano diwani mstaafu aliandika kule Rufiji waliweka wagombea katika vijiji 32 na wote wakakatwa,jambo ambalo ni uongo,kwa kuwa Halmashauri ina vijiji 38,na CHADEMA kilisimamisha wagombea wawili."

Mchengerwa amesema Dar es Salaam kuna mitaa 564 ila Diwani Mstaafu anasema kuna mitaa 600,lakini hawakusimamisha wagombea kwenye mitaa yote huku wakieneza taarifa za uongo.

Soma, Pia: Mchengerwa: Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi

Waziri huyo amesema kuhusu tafsiri ya umri kuna walioandika wamezaliwa mwaka 2024 maana yake haruhusiwi kugombea.

"Mfano Manispaa ya Kigoma Ujijii wagombea wa ACT Wazalendo walioenguliwa ni 11 na 58 walipitishwa,ila taarifa zao ni kwamba wagombea wote wameondolewa,11 walifuata taratibu za kanuni wakakata rufaa na watano walirejeshwa,na sita waliondolewa kwa changamoto ya umri,ukazi,kutojiandikisha, na udhamini".

Aidha,Mchengerwa amabye ni Mbunge wa Jimbo la Rufiji amesema hata CCM kuna mgombea wao alijaza amezaliwa Oktoba 2024,na kwamba alienguliwa na kwamba hakuna upendeleo bali utekelezaji wa kanuni.

Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma 2024
Huyu jamaa ni mbwa. Ana ongea huu ujinga kwa manufaa ya nani? Labda yake na mama mkwe wake
 
Mzee wa kifua kipana katika ubora wake. Anajua kabisa hasemi ukweli ila ndio basi tena tumefanya kuhadaa watu ukijifanya ukweli imekuwa utamaduni kwenye siasa za Tanzania.
 
Back
Top Bottom