Waziri Mchengerwa wasaidie watumishi umma, wanahamishwa vituo vya kazi bila kulipwa, wakihoji wanatengenezewa zengwe!

NUMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2019
Posts
807
Reaction score
1,164
Najua wewe ni mchapa kazi sana, kuna watumishi wa mamlaka ya serikali za mitaa na halmashauri ambao wanahamishwa kutoka kituo kimoja kwenda kingine na wanastahili kulipwa kwa mujibu wa taratibu za kiserikali.

Sasa cha ajabu watumishi hao wanahamishwa bila kulipwa kinyume kabisa na Sheria ya Utumishi wa Umma.

Sasa kama fungu la kulipwa bado kwanini wawahamishe watumishi na kutengeneza madeni kwa serikali yetu sikivu?

Naomba Waziri wetu kipenzi Mchengerwa ufuatilie kwa Wakurugenzi wa Halmashauri hasa za mikoa ya DSM, Mwanza, Rukwa na Mbeya.

Kipindi cha Magufuli haya mambo hayakuwepo lakini now naona yanarudi kwa kasi.

Jamaa yangu kahamishwa, nimemwambia mpaka apewe malipo ndio aende kuripoti. Amesema boss wake atamtengenezea mazingira ya kufukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu na utoro, in which all are posibles.

NB: Kama unaona hayakuhusu pita kushoto
 
Hayo ni mazingira ya mchwa waliojaa kila mahali.
 
Back
Top Bottom