Hivi wewe huwa una akili kweli, au shule mgogoroMuarobaini wa Umeme ni kuruhusu Makampuni Binafsi kama kwenye Simu
Ndiyo amekutuma?Pamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania...
Tatzo sio remote tatzo ni mshika remote...na mshika remote hao uliowataja ndo wapambe wake wakimwambia weka diestivii anaweka, weka katuni toa tibisiii hatuipendi anatoa and remote haina uwezo wa kusema no kwa mshika remote...remote kazi yake ni kumfurahisha mshika remote baasi.Pamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania...
puuzi Mtupu, Muhongo anaingiaje hapo. OOh!!! Muhongo na Ngereja..Wewe ni Fara sana Ebu tuelezee Muunganiko uliopo kati ya Muhongo na Kuwepo tatizo la LUKU. Acha Upuuzi wa Kuwakashifu watu.Naunga mkono hoja
Narudia tena na tena, Merdard Kalemani, Doto Biteko, Dr Dorothy Gwajima, Prof Ndalichako, mganga mkuu wa serikali, sio msaada kwa sasa kwenye serikali ya awamu ya Sita. Kuna vijana wadogo wenye uwezo kuliko lini kundi ambalo kwa sasa wamekata tamaa tangu 17.3.2021.Pamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania...
Nadhani ungesema ana vision ya umeme wa maji na sio wa bei nafuu. Una uhakika gani huo umeme wa maji utakuwa wa bei nafuu, wakati tumekopa 6.5t huku ukiwa hujui terms za marejesho? Kwahiyo kama ni Utetezi ama ushauri fanya kwa vigezo vingine, lakini sio unafuu wa bei.Pamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania....
ajiondoe mwenyewePamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania....
Hakuna mtu aliyekuwa above kukosolewa. Tusipokubaliana na utendaji wake. Na nyie ambao mnaona anafanya vizuri mna haki ya kutupinga na kutuonyesha wapi hatumtendei haki.Pamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania.
Kampeni ya kumchafua na kumshambulia ikemewe kwa nguvu zote....
Hadi tunavyoripoti muda huu, TANESCO iko hoi haina fedha za kutekeleza miradi mipya ya umeme na mikoa ya simiyu,katavi ,kigoma na Geita miradi mipya ya umeme imekwama kufanyika kwa asilimia 100 kwa kukosa fedha ña nchi iko uchumi wa Kati. Kalemani hajiongezi alizoea kufanyiwa kazi na JPM hata huko Jimboni kwake.Pamoja na mapungufu yake Waziri Kalemani bado ana vision sahihi ya umeme nafuu Kwa Watanzania.
Kampeni ya kumchafua na kumshambulia ikemewe kwa nguvu zote....
aondolewe kwa sababu gani?! kwa ajili ya wahujumu? wataondoka wao sio Dr. Kalemani.
Dr. Kalemani Kazi yake imetukuka na jitihada zake za kizalendo zinajieleza zenyewe kamwe hakuna wa kumchafua na akachafuka.
Rekodi yake inamfuata popote pale alipo, wasijaribu kupima kina cha maji
Hakuna mtu aliyekuwa above kukosolewa. Tusipokubaliana na utendaji wake. Na nyie ambao mnaona anafanya vizuri mna haki ya kutupinga na kutuonyesha wapi hatumtendei haki. Hizi lugha za kujivisha bendera ya uzalendo hakututishi maana tunajua ukimya wetu umechangia sana kutufikisha hapa tulipo. Na kama mtu wenu ni mzalendo msomi kweli atasikiliza zaidi criticism zetu kuliko mapambio yenu ili aboreshe utendaji wenu pale atakapoona kuwa ukosoaji wetu una ukweli.
Amandla...