Mheshimiwa waziri Mhagama , kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni mwanamama shupavu ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini.
Nikiwa kama mdau mkubwa wa utumishi wa umma naomba kuelekeza kwako kilio change cha kukuomba uingile Katina kukiokoa chuo cha utumishi wa umma taasisi ambayo ni kiungo muhimu katika kendeleza na kuboresha utumishi waumma Tanzania. Mh. Waziri ikumbukwe kuwa, chuo hiki ni wakala wa serikali kilichoanzishwa mwaka 2000. Uanzishwaji wake ulilenga kusaidia maboresho katika utumishi wa umma yaani Public Service Reform Program. Lengo Mahsusi lilikuwa ni kujengea uwezo utumishi wa umma ili uwe wenye matokeo katika kutoa huduma bora kwa umma.
Mh. Waziri labda kwa kuweka kumbukumbu sawa majukumu ya chuo cha utumishi wa umma Tanzania yameainishwa katika notisi ya serikali Na. 473 iliyochapishwa tarehe 15 Desemba,2000. Majukumu hayo ni kama ifuatavyo.
Mathalani kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitatu sasa chuo hakijafanya tafiti hata moja wala kutoa shauri za kitaalamu kwa utumishi wa umma. Hii hupelekea hata baadhi ya mafunzo ya muda mfupi kuripotiwa kama shauri za kitaalamu.
Mafunzo ya muda mfupi hayafanyiki inavyotakiwa kutokana na idadi ndogo sana ya waajiri kuleta watumishi wao chuo cha utumishi wa umma kutokana na chuo kukosa weledi wa utoaji wa mafunzo hayo hivyo kukimbilia kwa washindani.
Chuo kimekuwa kikikabiliwa na ukata mkubwa sana wa kifedha hii ni kutokana na kutokufanya vizuri kwa majukumu yake ya msingi ambayo ndio vyanzo vya mapato. Mathalani kwa sasa kuna idadi kubwa ya watumishi hawajalipwa madai yao mbalimbali kama vile likizo pesa ya chakula, pesa za mitihani na mafunzo ya muda mfupi, na malipo ya wazabuni. Kwa ujumlakuna madeni mengi sana hayajalipwa na chuo hakina fedha kinasubiri udahili wa wanafunzi wapya mwezi Novemba mwaka huu.
Hali katika matawi yake ni mbaya hakuna huduma yeyote itolewayo kwa sasa, baadhi ya kampasi wameshindwa hata kulipa huduma za msingi kama vile maji na internet au hata kutengeneza kitasa cha mlango kutokana na uhaba wa fedha.
Katika kutekeleza majukumu yake vizuri chuo kilianzisha Public sector journal ambayo kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitatu sasa hakijatoa issue hata moja. Kwa maelezo haya mh. Waziri chuo kina hali mbaya na hakikidhi haja ya uanzishwaji wake hivyo jitihada za makusudi zinahitajika ili kiweze kurudi katika hali yake.
Nini sababu ya changamoto hizi?
Mh. Waziri changamoto kubwa iliyopelekea chuo kufikia hapa ni aina ya uongozi wa chuo uliokosa weledi wa kuongoza wakala hii na hapa nitatoa viashiria kadhaa vinavyoonesha ni kwa jinsi gani uongozi uliopo unakwamisha maendeleo ya chuo.

- Kuendeleza ujuzi, maarifa nauelewa wawatumishi waumma katika maeneo ya menejimenti, utawala, uongozi, na uendeshaji wa ofisi
- Kutoa shauri za kitaalamu katika maeneo ya menejimenti,utawala, uongozi na uendeshaji wa ofisi
- Kutoa maarifa juu ya utendaji bora katika utumishi wa umma kwa kufanya tafiti
- Kuendeleza ujuzi katika maeneoya Teknolojia ya habari na mawasiliano
- Kusimamiana kuendesha mafunzo elekezi yaani induction program
- Kufanya mapitio na kuendesha mitihani ya utumishi wa umma yaani public service examinations na
- Kutunuku vyeti katika ngazi ya stashahada na cheti kwa wahitimu waliofuzu mafunzo
Mathalani kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitatu sasa chuo hakijafanya tafiti hata moja wala kutoa shauri za kitaalamu kwa utumishi wa umma. Hii hupelekea hata baadhi ya mafunzo ya muda mfupi kuripotiwa kama shauri za kitaalamu.
Mafunzo ya muda mfupi hayafanyiki inavyotakiwa kutokana na idadi ndogo sana ya waajiri kuleta watumishi wao chuo cha utumishi wa umma kutokana na chuo kukosa weledi wa utoaji wa mafunzo hayo hivyo kukimbilia kwa washindani.
Chuo kimekuwa kikikabiliwa na ukata mkubwa sana wa kifedha hii ni kutokana na kutokufanya vizuri kwa majukumu yake ya msingi ambayo ndio vyanzo vya mapato. Mathalani kwa sasa kuna idadi kubwa ya watumishi hawajalipwa madai yao mbalimbali kama vile likizo pesa ya chakula, pesa za mitihani na mafunzo ya muda mfupi, na malipo ya wazabuni. Kwa ujumlakuna madeni mengi sana hayajalipwa na chuo hakina fedha kinasubiri udahili wa wanafunzi wapya mwezi Novemba mwaka huu.
Hali katika matawi yake ni mbaya hakuna huduma yeyote itolewayo kwa sasa, baadhi ya kampasi wameshindwa hata kulipa huduma za msingi kama vile maji na internet au hata kutengeneza kitasa cha mlango kutokana na uhaba wa fedha.
Katika kutekeleza majukumu yake vizuri chuo kilianzisha Public sector journal ambayo kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitatu sasa hakijatoa issue hata moja. Kwa maelezo haya mh. Waziri chuo kina hali mbaya na hakikidhi haja ya uanzishwaji wake hivyo jitihada za makusudi zinahitajika ili kiweze kurudi katika hali yake.
Nini sababu ya changamoto hizi?
Mh. Waziri changamoto kubwa iliyopelekea chuo kufikia hapa ni aina ya uongozi wa chuo uliokosa weledi wa kuongoza wakala hii na hapa nitatoa viashiria kadhaa vinavyoonesha ni kwa jinsi gani uongozi uliopo unakwamisha maendeleo ya chuo.
- Mh. Waziri watumishi wa chuo wananyanyasika sana na uongozi uliopo kwa sasa. Wengi wanaishi bila kujua kesho yao hasa kutokana na kuhamishwa hamishwa kusikokuwa na tija, kutukanwa, kuzarauliwa,kubaguliwa kwa dini hasa ikizingatiwa mtendaji mkuu ni msabato hivyo watumishi wasabato wamekuwa wakipewa vipaumbele sana katika maamuzi mbalimbali hata nafasi nyingi zimeshikwa na wao. Kuhamisha hamisha watumishi kumewapelekea watumishiwengi kukumbwa na msongo wa mawazo hadi kupelekea kupoteza maisha kwa mtumishi mmoja wa kampasi ya Mbeya hivi karibuni. Licha ya kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumishi jambo hili limekuwa likikigharimu chuo kutokana nagharama za uhamisho.
- Kuhama kwa watumishi wengi ambao walikuwa chachu ya maendeleo ya chuo hasa katika maeneo ya tafiti na shauri za kitaalamu. Mathalani kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita watumishi Dr. Pilieli alihamia TIA, Dr. Enotha TIE, DR. Nguvava ITA, Dr.Hassanali TIA, DR. Lufunyo chuo cha bandari, Dr. Marijani UDOM, DR. Maiga TIA, Dr. Nchimbi MUcoBS, Dr. Mirambo, DIT na Dr Mambo OUT. Hao ni baadhi tu ya magwiji waliohama chuo lakini kuna zaidi ya watumishi 70 walihama taasisi hiyo na kuhamia taasisi mbalimbali kwa kipindi chamuda mfupi na kukiacha chuo katika wakati mgumu.
- Watumishi wengi waliopo kwa sasa wanakosa weledi wa kutoa shauri za kitaalamu,mafunzo na tafiti hasa kutokana na sababukwamba hakuna mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayofanyika pia mtendaji mkuu kwa zaidi ya miaka mitatu sasa amefuta ruhusa zakwenda masomoni kwa watumishi waliopo. Pia idadi kubwa ya watumishi waliopowamehamia kutoa wizara mbalimbali hasa wizara ya elimu yaaani walimu wa sekondari hivyo wanauelewa mdogo sana juu ya utumishi wa umma.
- Matumizi mabaya ya fedha za chuo hasa kuhudumia kwaya, safari zisizo na lazima kwa viongozi hasa mtendaji mkuu. Inasemekama amejijengea ghorofa kubwa kigamboni lililosimamiwa na meneja wa Manunuzi Mr. Johanus wakati kabla ya kupata uongozo alikuwa hana hata kiwanja. Pia chuo kimekuwa kikilipia mikutano mbalimbali ya kanisa analosali mtendaji mkuu.
- Viongozi wasaidizi kutomshauri mtendaji mkuu vizuri. Kwa lengo lakuhakikisha kwamba anawaziba midomo wasaidizi wake amekuwa akiwateua watu anaowamudu mathalani makamu mkuu wa chuo taaluma katika kipindi chote cha utumishi wake alikuwa afisa lasimali watu Mzumbe University ndio ameteuliwa kuwa makamu mkuu wa chuo taaluma.ni hatari sana mtu ambaye hana uzoefu wa taaluma kuja kusimamia taaluma.
- Mtendaji mkuu amekuwa akitumia madaraka yake vibaya hasa kujipandisha cheo kutoka mhsdhiri kuwa mhadhiri mwandamizi kwa kuielekeza kamati ya taaluma impandishe kwa kuwa ameandika kitabu cha kumsifu Magufuli. Mbali na kitabu hicho kukosa maudhui ya utumishi umma kitabu hicho hakijawahi kusomwa na mtu yeyote zaidi ya wajumbe wa kamati ya taaluma.
- Pia kwa muda mrefu sasa chuo hakina ushirikiano mzuri wa watendaji wa wizara hasa katibu mkuu hivyo kukosa mambo ya msingi ikizingatiwa kwamba ili chuo kifanye vizuri ni muhimu kuwa na ushirikiano mzuri na wizara.
- nini kifanyike?