robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 842
- 1,425
Kwani hiyo scholarship ya SAMUYA wanaenda kusoma nje ya nchi au inakuwaje?Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia.
Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua sayansi nchini. Sayansi haiwezi kuinuka kwa kuwapa upendeleo wanafunzi waliosoma shule za upendeleo na kupata matokeo mazuri, huku ukiwaacha maeffu ktk shule za serikali wakiwa hawana waalimu.
Lakini kibaya zaidi, sasa wanafunzi wanachaguliwa kwa kufuata familia zao na uwezo wa kuhonga watendaji wa Wizara. Kuna wanafunzi ambao wana ushindi mzuri, lakini wameachwa. Ujinga mkubwa unakuta wananfunzi wametoka shule moja, lakiniu aliyewazidi kwa ushindi anaachwa, anachukuliwa mwingine.
Hii ni wizara eti waziri ni profesa, katibu mkuu naye eti ni profesa, na yote haya yanafanyika wakiyapa baraka.
Hujamtaja Naibu Waziri, kwa hiyo ngoja mimi nisaidie hilo.Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia.
Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua sayansi nchini. Sayansi haiwezi kuinuka kwa kuwapa upendeleo wanafunzi waliosoma shule za upendeleo na kupata matokeo mazuri, huku ukiwaacha maeffu ktk shule za serikali wakiwa hawana waalimu.
Lakini kibaya zaidi, sasa wanafunzi wanachaguliwa kwa kufuata familia zao na uwezo wa kuhonga watendaji wa Wizara. Kuna wanafunzi ambao wana ushindi mzuri, lakini wameachwa. Ujinga mkubwa unakuta wananfunzi wametoka shule moja, lakiniu aliyewazidi kwa ushindi anaachwa, anachukuliwa mwingine.
Hii ni wizara eti waziri ni profesa, katibu mkuu naye eti ni profesa, na yote haya yanafanyika wakiyapa baraka.
Ivii Huwa na jamaa zangu walikua vizuri sana sanaa upstairs mtu ana division two olevel ana two advance mtu mwenye degree LET SAY BAED akipelekwa primary school atashindwa kufundisha kweli masomo yote ya primary school 😁Ningeulizwa nitoe mawazo yangu binafsi...
Ningesema tatizo letu ni hatuna waalimu wa HESABU na Sayansi kuanzia shule za Msingi na kuendelea.
Tukirekebisha huko kwa Kuajiri waalimu wafike angalau 75% ya mahitaji; Huu ndio ungekuwa Muarobaini wa kukosa maendeleo ya Sayansi ambayo ndio Engine ya uchumi. Namaanisha ufaulu wa Hesabu shule za msingi ungepanda kutoka 20% ya sasa hadi kufikia walau 75% halikadhaliko huko Sekondari na kuendelea...
Unaweza kushaa ila pengine 80% ya watu huko mtaani hawana ufaulu wa Hesabu &Sayansi..
Haya sasa, mtu mwenye akili za namna hii utamchukulia kuwa anahali gani kimaisha, kama siyo hali duni kiakili na kimaisha?Mpaka sasa hivi Lisu na Heche hawajaanzisha Scholarships zao ni jambo la kushangaza mno.
Kwangu mimi hili jambo linathibitisha ujinga wa serikali. Ni rahisi kuwa na waziri au mtendaji mjinga, lakini serikali inapokuwa na ujinga, maana yake nchi iko hovyo kabisa!Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia.
Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua sayansi nchini. Sayansi haiwezi kuinuka kwa kuwapa upendeleo wanafunzi waliosoma shule za upendeleo na kupata matokeo mazuri, huku ukiwaacha maeffu ktk shule za serikali wakiwa hawana waalimu.
Lakini kibaya zaidi, sasa wanafunzi wanachaguliwa kwa kufuata familia zao na uwezo wa kuhonga watendaji wa Wizara. Kuna wanafunzi ambao wana ushindi mzuri, lakini wameachwa. Ujinga mkubwa unakuta wananfunzi wametoka shule moja, lakiniu aliyewazidi kwa ushindi anaachwa, anachukuliwa mwingine.
Hii ni wizara eti waziri ni profesa, katibu mkuu naye eti ni profesa, na yote haya yanafanyika wakiyapa baraka.
Maprofesa wa PhD za udhanifu wanatuharibia sana nchi hii, kila kitu kinabebwa kichawachawa tu na ufisadi juu.Hali ya Tanzania kwa sasa ufisadi hakuna sababu ya kusema kuna ufisadi, kwa sababu ni kama imeruhusiwa na viongozi wa nchi, lakini ni vibaya sana kwa tunaoona yanyaofanyika kunyamaza bila sababu pia.
Waziri Mkenda anaendelea kung'ang'ania sula la Samia scholarship kwa kisingizio cha kuinua sayansi nchini. Sayansi haiwezi kuinuka kwa kuwapa upendeleo wanafunzi waliosoma shule za upendeleo na kupata matokeo mazuri, huku ukiwaacha maeffu ktk shule za serikali wakiwa hawana waalimu.
Lakini kibaya zaidi, sasa wanafunzi wanachaguliwa kwa kufuata familia zao na uwezo wa kuhonga watendaji wa Wizara. Kuna wanafunzi ambao wana ushindi mzuri, lakini wameachwa. Ujinga mkubwa unakuta wananfunzi wametoka shule moja, lakiniu aliyewazidi kwa ushindi anaachwa, anachukuliwa mwingine.
Hii ni wizara eti waziri ni profesa, katibu mkuu naye eti ni profesa, na yote haya yanafanyika wakiyapa baraka.
Huna akili, huyo kiazi kwani hiyo scholarship kaanzisha kwa pesa zake mfukoni au ni kodi zetu?!.Mpaka sasa hivi Lisu na Heche hawajaanzisha Scholarships zao ni jambo la kushangaza mno.
Tatizo la Tanzania hatuna rais! Anayejiita rais hajui anachokifanya, mbaya zaidi anaamini ana uwezo. Hata akisimama jukwaani anaweka 'pozi' kama mtu mwenye uelewa. Wale wanaosema ukweli juu ya hali yake ya uelewa, yeye anaamini wanaona wivu, ana mafanikio!Kwangu mimi hili jambo linathibitisha ujinga wa serikali. Ni rahisi kuwa na waziri au mtendaji mjinga, lakini serikali inapokuwa na ujinga, maana yake nchi iko hovyo kabisa!
Mwenye akili timamu hawezi kulitangazia taifa kwamba kuna wanafunzi aliowachagua kuwasomesha ndani au nje ya nchi, huku akifahamu sehemu kubwa wanatoka shule za binafsi. Waziri akifahamu kabisa kwamba kuna shule za serikali tangu form 1 hawana waalimu wa sayansi hadi form 6!
Huyu Mkenda ni waziri gani huyu? Ni msomi gani huyu? Kweli hajagundua kwamba sasa hivi shule fulani zinatoa pesa ili kupewa matokeo mazuri? Sasa wanajivunia idadi ya wanafunzi wanaolipiwa na hiyo scholarship yake? Tunao watoto FEZA na ni mtindo kununua matokeo!
Hata waalimu wanaokwenda kusahihisha mitihani wanafahamu kwamba matokeo ya hizo shule yanapangwa mezani! This is Rubbish education.
Si mna tone tone nyie muanzishe za kwenu?Huna akili, huyo kiazi kwani hiyo scholarship kaanzisha kwa pesa zake mfukoni au ni kodi zetu?!.
Ivii Huwa na jamaa zangu walikua vizuri sana sanaa upstairs mtu ana division two olevel ana two advance mtu mwenye degree LET SAY BAED akipelekwa primary school atashindwa kufundisha kweli masomo yote ya primary school 😁
Walimu wenye degree wa arts wametelekezwa wamekuja kua ma winga na BODA BODA na WAMACHINGA
Currently hali imehamia kwa MD wapo kibao na ajira zinazidi kupungua