peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tanzania lolote linawezekana, ni nchi ya kufanyiwa majaribio.Zamani miaka ya 80, ukifeli sekondari inaenda ualimu! Ilifika mahali ikahalalishwa division 4 ni ualimu!! Sasa aliyefeli anafundishaje? Tuige Ujerumani, anaefaulu vizuri ndiye anaechukuliwa ualimu. Chunguza kwa makini wanaofundisha Kiingereza na hesabu!
Mtoa mada yuko sahihi kwa 95% .Mtoa mada una uhakika kuwa wanaofundisha hesabu walifeli somo hilo au ndo yaleyale, mwendo wa kukaririshwa upumbavu humu mitandaoni?!!
Napinga hiliMtoa mada yuko sahihi kwa 95% .
Hata mwenye D mbili miaka yetu humkuti kwenye UALIMU maana sifa ya kuingia Muhimbili ilikuwa D mbili ya Biology na Chemistry.Ukweli ni kwamba hakuna mtu form 6,aliyepasua A,au B au hata C,alienda kuchukua edctn . Pure math waliofauru vzr A,B au C wamecgukua fani nyngne like engineer,mechanics , statistics n.k, D,E ndo waalimu .
mkitaka kujenga foundation nzr ya somo la hesabu ,basi badirisheni vigezo vya ajira ya ualimu, waigeni German kule waliofauru vizuri zaidi ndo wanapewa koz za ualimu na salary zao ,znakuwa juu .sio huku kwetu mwa. Salary laki 5,mtu aliyepata A pure math ,sahau yy kuja huko kwenye ualimu!
Mkuu....Ninapata shida kidogo kuhusu kauli ya Prof Mkenda.
Wanaofaulu somo la Hisabati wanaajiriwa wapi?
Somo la hisabati linawasaidia nini wansfaulu kama wanashindwa kujiajiri na kuajiriwa?
Prof Mkenda, kwa ufahamu wako mkubwa tambua kuwa walimu wanao fundisha somo la Hisabati Form four walifeli Hisabsti na ndio walimu walio ajiri na wizara yako.
Ushauri wa bure, fanya utafiti wa walimu wanao fundisha hisabati wao walifaulu hilo somo?
Muongo huyo...Mkuu....
Ni wapi huko wanaofundisha somo la hisabati walifeli form four?
Nimefundishwa na mwalimu ambaye alipata F ya MATH lakini mimi nilipata A.Tatizo namba moja ni uchache wa walimu wa somo la hisabati kwa ngazi zoote za elimu pia Tatizo lipo shule za msingi mwalimu wa grade A aliyepata F ya hesabu ndo anafundisha hesabu. Siku waalimu wa msingi wakiwa na masomo mahususi tatizo litaanza kupungua
Uko sahihi kabisa. Hiyo ni case iliyotokea kwako nakubaliana na wewe. Nataka uamini kwamba sijawadharau walimu wa hisabati shule za msingi na sio wote ila wengi wanaolifundisha somo la hisabati kwa level za chini baadhi yao uwezo ni mdogo ama hukabiliwa na majukumu ya ufundishaji makubwa sana kwa sababu ya uchache wao na wanafunzi ni wengi. Hili somo linataka full 100% participatory yaan mwanafunzi afatilie kila hatua kwa makini na baada ya hapo mwalimu nae afatilie vitendo anavyovifanya mwanafunzi. Sasa unakuta mwalimu wa hisabat kwa wiki anavipindi 72 na wanafunzi anahudumia wapo kama elfu 1 yeye yupo peke yake.Nimefundishwa na mwalimu ambaye alipata F ya MATH lakini mimi nilipata A.
Maana hiyo aliipata kwenye mtihani wa form four...shule ya msingi enzi zake alipata A.
Baada ya kwenda form one hawakumkuta mwalimu wa Math hadi wanamaliza form four.!!