Waziri Mkenda awataka DIT waanze kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki

Na wanafunzi wanakatazwa kuitumia kwa sababu wataiharibu!

Amandla...
 
Na wanafunzi wanakatazwa kuitumia kwa sababu wataiharibu!

Amandla...
Harafu vijana wetu wanapokosa ajira katika makampuni ya kigeni yanayotaka ufanisi tunadai wanabaguliwa.
Kuna mradi mkubwa ya uchakataji wa gesi asilia subiri vioja vya waombaji ajira.
 
Vyuo kazi yake ni ubunifu na kutoa blueprints na prototypes halafu karakana ndizo zinafanya production zikitazama uzalishaji wenye faida na kuangalia gharama na umadhubuti. Huwezi kuwaambia DIT wafanye production hayo ni matamko ya kisisasa tu! Karakana kama Moshi Machine Tools iliyotekelekezwa na semrikali ndio ingepewa huo ubunifu kama blueprints na prototypes ili kutengeneza hivyo vipuri! Ndivyo nchi zilizoendelea zinafanya huo ubuni kuwa zao au product inayoweza kushindana sokoni! Waziri msomi Mkenda anaanza kunitia mashaka!
 

Waziri wa elimu solomon,elinawinga na Prof mkenda wote walitokea kilimanjaro,​

Waziri wa fedha msuya, yona, mramba na mtei walitokea kilimanjaro.​

Waziri wa fedha mwigulu ana historia ipi?​

 
Kuna mwanafunzi wa hiki chuo aliwahi kulalamika kuwa wana shida ya muda mrefu ya vyoo madarasani na mengine yanavuja lakini Chuo kimepeleka "dividend " ya mamilioni serikalini! Ovyo kabisa hawa maprofesa wetu. Badala ya kuangalia mazingira ya wanafunzi na walimu wao wanawekeza katika kujikomba kwa wanasiasa. Na wakiwa wanasiasa ndio kabisa. Ndio maana wakina Musukuma wanawadharau.

Amandla...
 
Ushauri huo angeupeleka VETA lakini kwa DIT hawataweza ni full kumeza mavitini bablai
 
Kutengeneza vipuri engineering yake na vifaa vyake siyo mchezo...

Keko Kuna kampuni ya kurepair vipuli vya magari sii Mchezo...
 
Wape bajeti sio uonongea tuu unajua pesa nyingi kiasi gani kinaitajika ku fund izo project za vipuri...
tatizo sijui ni kuwa na uelewa mdogo, kukurupuka au ujinga kuongea hivi. Kwani hayo wanayoyafanya kwa Sasa bajeti wanatoa wapi km siyo ruzuku ya serikali.

Sijaelewa kosa la waziri ni nini hadi unamfokea.
 
unafikiri haya hawayajui
 
Huyu sio Ndalichako Mkuu. Ni mchaga na ni mbunifu. PhD yake imesimama sio Phd ya akina Doto Biteko
Kwani yeye ndo mchaga wa kwanza kuwa na hiyo PhD? Mbona huo ubunifu kwa sababu ya kuwa mchaga hatujauona happy DIT kwa wachaga wengine Hadi udharau makabila mengine wenye PhD? Eti siyo Ndalichako na Biteko.
#Mbowe ni gaidi.
 
DIT hawa hawa waonatutengenezea simu kariakoo wataweza kweli?
 
Viongozi wetu wana kipaji sana cha kutumia midomo yao kusema lolote. Yaani DIT igeuke kuwa kiwanda japo cha SIDO badala ya kuwa taasisi ya elimu? Ni chuo gani duniani kinachoweza kutekeleza maagizo kama haya? Inawezekana alipoona machine za kufundishia yeye akaona kuwa hicho ni kiwanda.
 
Waziri anaifahamu patent infringement?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…