KERO Waziri Mkenda lini utasimamia na kuondoa uzembe katika Uongozi wa Vyuo Vikuu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

robinson crusoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2020
Posts
842
Reaction score
1,425
Waziri umeshirikiana na UD kutatua 'mgogoro' wa kijana aliyeshindwa kuendelea na masomo kwa faini ya kizembe. Au tuseme uonevu wa UD kwa wanafunzi. Hiyo ni ishara kwamba Vyuo vikuu vyetu vinaendeshwa kishenz. Nasema tena Kishenz! Ni aibu kuwa na viongozi wa aina hiyo, halafu ukasema ni chuo kikuu. Chuo Kikuu chenye taratibu za hovyo!

Mh. Waziri ufahamu kwamba siyo hilo tu! Pale SUA wamelalamika sana juu ya uongozi wa chuo kufuta mitihani ya marudio. wewe unafahamu na unakubaliana nao kwamba sasa ktk dunia hii kuna chuo ambacho hakina muda wa mitihani ya marudio. Vijana wanakaa mitaani mwaka mzima kusubili mitihani hiyo: Sababu kubwa eti waalimu wapate muda wa kupumzika! IDIOT!

Wanafunzi wakilalamika wanatishiwa kuwekwa mahabusu ya polisi. Na wengine wameshawekwa mahabusu! Hicho ni chuo kikuu? Yaani Uongozi unasaidiwa kuongoza chuo na Polisi, kweli? Bahati mbaya hata ulivyolishughulikia suala la UD ni kama wewe ni sehemu ya UD! Kwa nini? Je Waziri ni sawa na viongozi wa Vyuo?

Tumeharibu vyuo vikuu kupitia viongozi. UD iliharibikia kwa Mkandara ambaye bado anajiona ni jogoo wa UD hadi sasa. Mukaanza kuwatishia wanafunzi kwa vifungo. wamekuwa kama sekondari, halafu tunawalaumu etu hawako vizuri!
 
Tuliokuwa wana UDASA enzi za Luhanga M, Ph.D , ndio tuliona thamani ya Chuo Kikuu cha DSM.
 
Waziri umeshirikiana na UD kutatua 'mgogoro' wa kijana aliyeshindwa kuendelea na masomo kwa faini ya kizembe. Au tuseme uonevu wa UD kwa wanafunzi. Hiyo ni ishara kwamba Vyuo vikuu vyetu vinaendeshwa kishenz. Nasema tena Kishenz! Ni aibu kuwa na viongozi wa aina hiyo, halafu ukasema ni chuo kikuu. Chuo Kikuu chenye taratibu za kishenz!

Mh. Waziri ufahamu kwamba siyo hilo tu! Pale SUA wamelalamika sana juu ya uongozi wa chuo kufuta mitihani ya marudio. wewe unafahamu na unakubaliana nao kwamba sasa ktk dunia hii kuna chuo ambacho hakina muda wa mitihani ya marudio. Vijana wanakaa mitaani mwaka mzima kusubili mitihani hiyo: Sababu kubwa eti waalimu wapate muda wa kupumzika! IDIOT!

Wanafunzi wakilalamika wanatishiwa kuwekwa mahabusu ya polisi. Na wengine wameshawekwa mahabusu! Hicho ni chuo kikuu? Yaani Uongozi unasaidiwa kuongoza chuo na Polisi, kweli? Bahati mbaya hata ulivyolishughulikia suala la UD ni kama wewe ni sehemu ya UD! Kwa nini? Je Waziri ni sawa na viongozi wa Vyuo?

Tumeharibu vyuo vikuu kupitia viongozi. UD iliharibikia kwa Mkandara ambaye bado anajiona ni jogoo wa UD hadi sasa. Mukaanza kuwatishia wanafunzi kwa vifungo. wamekuwa kama sekondari, halafu tunawalaumu etu hawako vizuri!
Inasikitisha sana
 
Nakuunga mkono!
Haya majengo tunayoita ni vyuo vikuu, ni kama hakuna anayejitambua ktk uongozi.
Kweli imefikia mwanafunzi anayejitambua, anajaribu kujieleza kama kijana aliyekomaa, Chuo kinakula njama na polisi kumuweka ndani! hiyo ndo SUA kweli? Imekwisha.

Hakika huo mtindo ulianzishwa na Mkandara wa UD, mtu mzima aliyejisikia kudeka kwa sababu tu anapigiana simu na rais. Yule rais mpenda sifa za kijinga. UD tangu hapo iko chini ya kiwango hadi leo. Namuangalia hata mkuu wa chuo aliyepo ni shida tu! Nasikia amedumu kwa sababu ya kutoa PhD kwa rais. Poleni TZ!
 
Waziri umeshirikiana na UD kutatua 'mgogoro' wa kijana aliyeshindwa kuendelea na masomo kwa faini ya kizembe. Au tuseme uonevu wa UD kwa wanafunzi. Hiyo ni ishara kwamba Vyuo vikuu vyetu vinaendeshwa kishenz. Nasema tena Kishenz! Ni aibu kuwa na viongozi wa aina hiyo, halafu ukasema ni chuo kikuu. Chuo Kikuu chenye taratibu za kishenz!

Mh. Waziri ufahamu kwamba siyo hilo tu! Pale SUA wamelalamika sana juu ya uongozi wa chuo kufuta mitihani ya marudio. wewe unafahamu na unakubaliana nao kwamba sasa ktk dunia hii kuna chuo ambacho hakina muda wa mitihani ya marudio. Vijana wanakaa mitaani mwaka mzima kusubili mitihani hiyo: Sababu kubwa eti waalimu wapate muda wa kupumzika! IDIOT!

Wanafunzi wakilalamika wanatishiwa kuwekwa mahabusu ya polisi. Na wengine wameshawekwa mahabusu! Hicho ni chuo kikuu? Yaani Uongozi unasaidiwa kuongoza chuo na Polisi, kweli? Bahati mbaya hata ulivyolishughulikia suala la UD ni kama wewe ni sehemu ya UD! Kwa nini? Je Waziri ni sawa na viongozi wa Vyuo?

Tumeharibu vyuo vikuu kupitia viongozi. UD iliharibikia kwa Mkandara ambaye bado anajiona ni jogoo wa UD hadi sasa. Mukaanza kuwatishia wanafunzi kwa vifungo. wamekuwa kama sekondari, halafu tunawalaumu etu hawako vizuri!
Ni aibu sana, hata huyo dogo ni vile issue yake imeenda viral- thanks to social media. Hivyo wameisolve ili wapate points za kisiasa tu. The real underlying root cause of the problem persists.
 
Back
Top Bottom