Waziri Mkulo akumbwa na kashfa

Waziri Mkulo akumbwa na kashfa

Yatafunguka mengi kweli kweli, tusubiri kidoooogo tu
 
Kuna wakati hujiuliza hivi Kikwete aliona kitu gani toka kwa mtu huyu Mkulo, Mkuchika na Ngeleja... sijawahi pata jibu..

Nitajie mawaziri watatu ambao wako smart, wazalendo, sio wanafiki na wala mafisadi
 
Hebu tujikumbushe: Ni waziri gani wa fedha wa mwisho katika nchi hii aliyewahi kuwa mwadilifu, yaani yule ambaye hakukumbwa na kashfa zozote za ufisadi? Jamal? Msuya?

Tukumbushane.

Kwa kumbukubu zangu mimi ni Hayati Kibona pekee.
 
Nitajie mawaziri watatu ambao wako smart, wazalendo, sio wanafiki na wala mafisadi

Wapo ila huwezi kuwaona kwa kuwa mfumo waliomo ni mchafu so ili kutibu ni ccm kuondolewa madarakani hapo ndipo utwaona akina Prof Anna Tibaijuka.
 
Mimi huwa nashangaa viongozi wetu wanapofanya mambo mazuri.!!

Hawaoni umuhimu wa kufanya mazuri ndio maana wamechangamka na ufisadi tu
 
hakuna msafi ndani ya ccm.. never.... n it will never happen as long as wataendelea tawala nchi hii
 
Back
Top Bottom