Allien
JF-Expert Member
- Jul 6, 2008
- 5,546
- 1,861
Source: http://www.ippmedia.com/ipp/nipashe/2009/02/28/132510.html.
Mkulo akihojiwa baada ya Rais kupresent "Economic Stimulus Package" alikibu kuwa Rais kamrahisishia kazi ya kuwakilisha bajeti yake.
Hivi jamani nauliza: wakubwa hawaruhisiwi kuchapwa viboko?
Hii inanikumbusha Hekaya za Abunuasi juu ya mjinga aliyeuziwa ghorofa ya juu kisha Abunuasi akamlalia kwa kumwambia shikilia ghorofa yako mimi nabomaa yangu ya chini
Hivi hawa mawaziri wetu huwa wanafikiria nini kutoa matamko yasiyo na kichwa wala miguu? Wanawachukuliaje Watanzania Hasa? Kila waziri na matamko ya ajabu ajabu. Kama hawawezi kazi si waachie ngazi tu? @#$%^&*!@$^%$^%^
Ukisikiliza Matamko au Kauli ya Maboss Zao JK /MKP ni toafauti na zao:
Listi yao ni kubwa tu . . . .
Wasomi na wafanyabiashara mashuhuri nchini, wamesema kauli ya Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo, kuwa mtikisiko wa uchumi duniani hautaathiri uchumi wa Tanzania ni sawa na kichekesho.
Wakizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), kwa ajili ya kutathmini kuanguka kwa uchumi wa dunia, wafanyabiashara na wasomi hao walisema hakuna namna ambavyo Tanzania inaweza kuepuka athari za mtikisiko huo.
Waziri Mkulo alikaririwa hivi karibuni akisema kuwa mtikisiko huo wa fedha hautaleta madhara kwa Tanzania.
Akitoa mhadhara kwenye mkutano huo, Mchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Humphrey Mushi, alisema kauli hiyo ni ya kujidanganya tu, badala yake hatua za haraka na za makusudi zinapaswa kuchukuliwa ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kutokea.
Mkulo akihojiwa baada ya Rais kupresent "Economic Stimulus Package" alikibu kuwa Rais kamrahisishia kazi ya kuwakilisha bajeti yake.
Hivi jamani nauliza: wakubwa hawaruhisiwi kuchapwa viboko?
Hii inanikumbusha Hekaya za Abunuasi juu ya mjinga aliyeuziwa ghorofa ya juu kisha Abunuasi akamlalia kwa kumwambia shikilia ghorofa yako mimi nabomaa yangu ya chini
Hivi hawa mawaziri wetu huwa wanafikiria nini kutoa matamko yasiyo na kichwa wala miguu? Wanawachukuliaje Watanzania Hasa? Kila waziri na matamko ya ajabu ajabu. Kama hawawezi kazi si waachie ngazi tu? @#$%^&*!@$^%$^%^
Ukisikiliza Matamko au Kauli ya Maboss Zao JK /MKP ni toafauti na zao:
Listi yao ni kubwa tu . . . .
- Mkulo
- Sofia Simba
- Mkuchika
- Masha
- . . . . .