Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani? Abunuasi?
yeaah wanajua mtasema mkichoka mtanyamaza na baada ya miaka mitano mtawachagua tena si ndio? kwani watanzania wakikataaa kumchagua ubunge uwaziri ataupata wapi?Mimi na washangaa sana hawa viongozi wa hili taifa, hawaoni hata aibu na wabadilike? iweje mtu usemwe kiasi hiki kuanzia huyo monitor wao uendelee kuona mambo ni kawaida tu. hata mtoto ukiona unamueleza kitu kila siku na hakusikilizi kaa ukijua ameshakudharau na hata useme nini hana habari.
Mimi nadhani hawa viongozi wametudharau sana sisi watanzania na nina uhakika wanaambizana waache waseme wakichoka watanyamaza.