Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
chapa kazi waziri mkuu Dr Mwigulu Nchemba, waTanzania wote tupo nyuma yako.WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani humo.
Katika ziara hiyo itakayofanyika kuanzia leo, Jumatano Julai 1 hadi Julai 5, 2026, Waziri Mkuu atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo, kuzungumza na wananchi, kusikiliza na kutatua changamoto zao katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara.
Kwahiyo aliyesema polisi wazuie mikusanyiko yote hawawezi kumzuia huyu jamaa au ndio wanaogopa chadema tu ndio waanzisha vurugu ccm hawawezi kuanzisha vuruguWAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani humo.
Katika ziara hiyo itakayofanyika kuanzia leo, Jumatano Julai 1 hadi Julai 5, 2026, Waziri Mkuu atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo, kuzungumza na wananchi, kusikiliza na kutatua changamoto zao katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara.
Tusione manguo ya kijani na njano kwenye mkutano. Dr. Mwigulu Nchemba umesikia?WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani humo.
Katika ziara hiyo itakayofanyika kuanzia leo, Jumatano Julai 1 hadi Julai 5, 2026, Waziri Mkuu atakagua na kuzindua miradi ya maendeleo, kuzungumza na wananchi, kusikiliza na kutatua changamoto zao katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mara.
Inaonekana Hon PM hakusikia zuio la Hon Katambi auSasa Amefika Mkoa wa Mara
Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
📆 1 Julai, 2026.
🕰️ 5:00 Asubuhi.
Lengo la Ziara:
1. Kukagua Jengo la Utawala - H/W ya Serengeti.
2. Mkutano wa hadhara - H/W ya Serengeti.
3. Mkutano wa hadhara - Nyamongo.
Bado katiba hujatekeleza Muishimiwa