Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Jina lake wala halivutii kuwa PM
 
Watanganyika hawahitaji Tena maigizo kama haya,tunatoka mifumo mipya ambayo itamfanya Kila mtu kuwajibika katika nafasi aliyo nayo.

Kwahiyo ili watu wafanye kazi ni lazima mwigulu nchemba awashitukize,

Upuuzi mtupu
 
Safi sana kwa Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean kwa kuanza kazi kwa kasi ili wananchi wapate huduma safi na stahiki. Tuna imani kubwa sana juu yake.
Baada ya kuua watoto wanaenda kutoa maagizo ya kuokoa watoto,imbecile tyrancy.
 
Hakika ni za kwetu
 
Huyu hana muenakano wa kiuongozi apende asipende

Watu wa aina hii kitu pekee kinachoweza kuwabeba ni uthabiti wa moyo na kumaanisha wa nachosema basi

Zaidi ya hapo avatar yake ni ya shamba boy anisamehe kwa hili kama akipitia humu
 
Hiyo ziara ni AI.
 
Yaani miaka yote ya utawala wa CCM maagizo ni yale yale...

Kwani inashindikana vipi hospitali za umma kuwa za kisasa kama za binafsi
 
Maagizo ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa hospital zote nchini, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kwenye Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo Novemba 15, 2025.
 

Attachments

  • VID-20251115-WA0111.mp4
    30 MB
Hakuna Waziri Mkuu hapo! Ni vile tu kwa sasa nchi inatawaliwa na vilaza. Kwa hiyo sishangai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ