PostGE2025 Waziri Mkuu afanya ziara ya kushtukiza hospitali ya Mkoa Dodoma

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Haya maigizo tushayazoea eti ziara ya kushtukiza na wapiga picha walishtukizwa, huyu anapenda sifa tangu zamani tunamjua!!!
 
- 𝗔𝘁𝗼𝗮 𝗺𝗮𝗮𝗴𝗶𝘇𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝗪𝗶𝘇𝗮𝗿𝗮 𝘆𝗮 𝗔𝗳𝘆𝗮, 𝗠𝗦𝗗 𝗻𝗮 𝗵𝗼𝘀𝗽𝗶𝘁𝗮𝗹𝗶 𝘇𝗼𝘁𝗲 𝗻𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶
- 𝗪𝗮𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗶𝗽𝗼𝗻𝗴𝗲𝘇𝗮 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗸𝗮𝗹𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗯𝗼𝗿𝗲𝘀𝗵𝗮 𝗵𝘂𝗱𝘂𝗺𝗮 𝘇𝗮 𝗮𝗳𝘆𝗮

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 15, 2025 amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kuziagiza hospitali zote nchini zihakikishe wajawazito wanapofika hospitali wahudumiwe kwa haraka ili kuokoa maisha ya mama na mtoto.

Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizaya ya Afya, Bohari ya Dawa (MSD) na Hospitali zote nchini ziweke vipaumbele vya kuwa na dawa kulingana na mahitaji ya eneo husika. “ Haipendezi mwananchi kufika hospitali na kupatiwa vipimo vyote kisha anaambiwa dawa akanunue kwingine, kama duka binafsi linaweza kupata dawa hizo, inawezekanaje hospitali za serikali hapati? Naagiza Hospitali zote ziwe na dawa.”

Ametoa maagizo hayo wakati akizungumza na wananchi nje ya hospitali hiyo baada ya kutembelea wananchi waliofika hospitalini hapo kupata huduma mbalimbali za kitabibu ambapo amesisitiza wananchi waendelee kuhudumiwa vizuri kwa kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya kuboresha huduma za afya nchini vikiwemo vifaa tiba na dawa.

Kadhalika Mheshimiwa Waziri Mkuu ameziagiza hospitali zote nchini zihakikishe zinakuwa na vifaa vya usafi binafsi vya dharura vikiwemo ndoo na beseni katika wodi za wazazi ili viwasaidie akinamama wasiokuwa na vifaa hivyo. “Ujauzito sio suala la dharura vifaa kama ndoo tunapaswa kuwa navyo katika hospitali zetu za serikali.”

Dkt. Mwigulu ametumia fursa hiyo kumpongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya katika uboreshaji wa huduma za afya nchini. Waziri Mkuu akiwa hospitalini hapo, wananchi walimueleza kuwa wanahudumiwa vizuri na kwa uangalizi wa karibu.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu ameziagiza hospitali zote nchini zizingatie maelekezo ya kutumia mifumo sahihi ya malipo katika taratibu za kutoa huduma ili kuwezesha Serikali kuendelea kuhudumia wananchi.

Dkt. Mwigulu ametoa agizo hilo kufuatia kuwepo kwa hospitali ambazo baadhi ya huduma wanapokea malipo kwa njia ya mtandao na nyingine malipo yanapokelewa malipo kwa njia zisizo rasmi.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti wagonjwa na wananchi wanaoguza ndugu zao wamempongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma bora za afya.

“Tunamshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa tunapatiwa huduma nzuri kama tupo hospitali za private (binafsi).” Kauli hiyo imetolewa na Dinna Enock, mkazi wa Makulu jijini Dodoma ambaye amelazwa katika wodi ya wazazi.

View attachment 3502333View attachment 3502334View attachment 3502335View attachment 3502336View attachment 3502337View attachment 3502338View attachment 3502339View attachment 3502340View attachment 3502341View attachment 3502342
-

Mwizi anatoa maelekezo?
 
Sijui itakuaje kwa mkuu wa mkoa wa Dar... Maana alitoa maagizo tofauti kabisa...
Muda huongea...

Cc: Mahondaw
 
Kum@mayo zenu ,Disemba 9 ninyi ******* machawa takataka na mtatoka nduki pekupeku mkiwa kwenye chupi .Hatucheki na ******* siku hiy😵peration ya mtaa kwa mtaa dhidi ya takataka yoyote inayoitwa ccm au Mali inayomilikiwa na mwanaizaya mwanaccm ni majivu
 
Back
Top Bottom