johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri Mkuu amemtaka Shehe Majini kutokata tamaa kwani kura za maoni ni mchakato tu lakini maamuzi " yenyewe" yanafanyika huko juu.
Mh Majaliwa amesema subra ni jambo muhimu na Shehe Majini aliyegombea ubunge jimbo la Handeni kwa tiketi ya CCM anapaswa kuwa na subra.
Chanzo: TBC
My take; Hata Steve Nyerere wa Iringa mjini awe na subra
Maendeleo hayana vyama!