Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Maumivu ya kichwa huanza poole pole. Ndugulile soooma hiyoooo.Waziri Mkuu amemtaka Shehe Majini kutokata tamaa kwani kura za maoni ni mchakato tu lakini maamuzi " yenyewe" yanafanyika huko juu.
Mh Majaliwa amesema subra ni jambo muhimu na Shehe Majini aliyegombea ubunge jimbo la Handeni kwa tiketi ya CCM anapaswa kuwa na subra.
Chanzo: TBC
My take; Hata Steve Nyerere wa Iringa mjini awe na subra
Maendeleo hayana vyama!
Naona maandalizi ya kumfaulisha DAB yanafanyika kwa kasi sana kupitia mgongo wa Sheikh Majini na Gwajima