Waziri Mkuu amemtaka Shehe Majini kutokata tamaa

Maumivu ya kichwa huanza poole pole. Ndugulile soooma hiyoooo.

Naona maandalizi ya kumfaulisha DAB yanafanyika kwa kasi sana kupitia mgongo wa Sheikh Majini na Gwajima
 
Tukumbushane tarehe ya maamuzi ya Kamati kuu juu ya Nani mgombea pendekezwa
 
Hata Mwijaku avute subra. Tunampitisha na ile kesi yake ya picha za X tunafuta.
 
Kada, hata Steve unampa publicity kweli? Mtu mwenyewe hata hajitambui, mnashusha sana hadhi ya ubunge mkiwataja watu kama Steve..


Steven Nyerere ndio chaguo la Kamati Kuu wengine wote tupa kuleee
 
Mkuu hiyo signature yako inapingana na kauli alizotoa mkulu kule jimboni kwa Bwege
 
Kada, hata Steve unampa publicity kweli? Mtu mwenyewe hata hajitambui, mnashusha sana hadhi ya ubunge mkiwataja watu kama Steve..
Mzee mbona unakichwa kigumu kung'amua mambo? Hiyo kauli inamlenga Makondakta wa daladala, wanaoshangilia anguko lake wajiandae kusaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…