October 26, 2019
Baku, Azerbaijan.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 26, 2019 anatarajiwa kumwakilisha Rais Magufuli katika Mkutano wa 18 wa wakuu wa nchi na serikali wa nchi zisizofungamana na upande wowote (NAM) kutoka Afrika na kwingineko duniani utakaofanyika Baku, Azerbaijan. Umoja huo wa Nchi Zisozofungamana na Upande Wowote NAM Member states of the Non-Aligned Movement una zaidi ya nchi wanachama 100 Member states of the Non-Aligned Movement
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pia alimwakilisha Mhe. Rais John Pombe Magufuli ktk mkutano wa Russia Africa Summit The Russia–Africa Summit · Economic Forum | 23–24 October 2019 | Sirius Park of Science and Art in Sochi uliomalizika mjini Sochi, Russia ambapo Rais Vladimir Putin wa Russia aliwakaribisha wakuu wa nchi za Kiafrika zaidi ya 40 kukuza mahusiano ya Russia na nchi za Kiafrika uliomalizika Oktoba 24, 2019.
Source : Azam TV