A Anonymous Guest Mar 16, 2026 #1 Waziri mkuu katika ziara zake atenge mda wa kuwasililiza watumishi Kuna kero nyingi hasa Halmashauri zetu, Kuna wakurugenzi na baadhi ya wasaidizi wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo. Katika kusikiliza Watumishi wenye vyeo wasiwe kwenye Hilo jumuiko
Waziri mkuu katika ziara zake atenge mda wa kuwasililiza watumishi Kuna kero nyingi hasa Halmashauri zetu, Kuna wakurugenzi na baadhi ya wasaidizi wake hawatimizi wajibu wao ipasavyo. Katika kusikiliza Watumishi wenye vyeo wasiwe kwenye Hilo jumuiko