Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Wakuu bado waziri wetu mkuu anaokoa mamilioni au anatumia mamilioni
 
Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi...
Great,ni mwanzo mzuri wa kubana matumizi.
 
Baada ya kuripotiwa na chanzo kimoja cha habar uko Dodoma. Kwamba baada ya waziri mkuu kutembea mita mia200 kwa miguu ime save mamilioni ya shilingi.

Binafsi hii ni propaganda tu gharama zmeokolewa kwel but sio kwa kiwango hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…