Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nchi ya maigizo balaaKunena so kutenda na kutenda si kumaanisha
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Kuna mmoja alikuwa anawafungia mageti wafanyakazi wa wizara fulani naona sahv mwenyewe kachokaMkuu nchi ya maigizo balaa
darasa la tatu B, kinampanda shule ya msingiSwali la kijinga sana ! Umeishia darasa la ngapi ?
Ndio maana akili zimefubaa kama "kyuluse" la kinampanda,angalau ungesomea hata ulemo au misigiridarasa la tatu B, kinampanda shule ya msingi
Mtafuta kiki kwa pikipiki hupata mingi mikikiVipi bado anaendelea kwenda ofisini na mguu? Au ilikuwa kiki tu
Kwa mliopo Dodoma huyu PM bado anatembea kwa mguu ili kuokoa mamilioni au ilikuwa ni mbwembwe tu na kiki na kutafuta media attention...
Kwani mwanzon kwake na ofisin pana dakika 5?Kwa mliopo Dodoma huyu PM bado anatembea kwa mguu ili kuokoa mamilioni au ilikuwa ni mbwembwe tu na kiki na kutafuta media attention...
NiiiceIsichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi.
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-Ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache.
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita.
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi.