Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Wanabana matumizi alafu zilizo okolewa analipwa ProPesa afanye ziara mikoani kwangu hiki ni kichaa na kama kutembea mita 200 ni habari basi tuna safari ndefu na hawa bongo movie waliojificha kwenye uongozi wa serikali yetu.
ati nini
 
Watu mnauliza mawasli ya kitoto kweli, KWA MAZOEA YALIYOKUWEPO NIHABARI na JAMBO ZURI. Hamkusikia David Cameroon kapanda ndege low class ikawa habari jiji. Sio kwamba ni maajabu ILA HALI ILIYOKUWEPO AWARI NDIO INATENGENEZA TUKIO LA AJABU hata kama nilakawaida kiasi gani
 
Acheni ujinga mnao ikubari hiyo mita 200 ni mazoezi ya kawaida,coz uwanja wa mpira ni mita 100 so ni sawa na kwenda na kurudi kwa uwanja wa mpira,kwahiyo mechi ya wabunge wa simba na yanga taifa,walivyokuwa wanakimbiakimbia kwenye meta 100 za uwanja walikuwa wanabana matumizi,acheni ujinga mnaopenda kusifia kila kitu jamaaa walikuwa wanafanya mzoezi tu.au mnafikiri viongozi huwa awafanyi mazoezi kwa jiri ya afyaa,fyuuuu
 
Mshana jr.umejitekenya alafu unacheka mwenyewe,hii si habari mbaya wala huyo waziri mkuu hakufanya ili asifiwe ila ttzo la waandishi wa habari
 
Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi.

Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-Ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache.

Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita.
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?

Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?

Hii breaking news imeniacha na maswali mengi.
Mita 200 hiyo inatofauti gani na kutoka ndani kwenda chooni kwa wale tunaokaa vijijini..
 
Huwa anakuwa na msafara wa magari SITA kwa mwendo wa mita 200? Imagine ulinzi wote huu kwenye "kisiwa cha amani".

Japo Salva Kiir wa South Sudan yupo kwenye state of emergency na kule kula bullet ni suala la kawaida, protection detail yake haipo extravagant namna hii.
 
Swali lingine. Je Tanzania tuko vitani mpaka waziri mkuu asindikizwe na watu sita anapotembea mita 200 kwenda ofisini kwake kutoka ofisi nyingine????
Nchi yetu imegeuka kuwa nchi gani?
 
Huwa anakuwa na msafara wa magari SITA kwa mwendo wa mita 200? Imagine ulinzi wote huu kwenye "kisiwa cha amani".

Japo Salva Kiir wa South Sudan yupo kwenye state of emergency na kule kula bullet ni suala la kawaida, protection detail yake haipo extravagant namna hii.

Swali lingine. Je Tanzania tuko vitani mpaka waziri mkuu asindikizwe na watu sita anapotembea mita 200 kwenda ofisini kwake kutoka ofisi nyingine????
Nchi yetu imegeuka kuwa nchi gani?
 
Back
Top Bottom