mtaalamuna84
Member
- Nov 22, 2016
- 66
- 53
Mimi natembea kwenda darasani kila siku hata mimi naokoa malaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahaba niuwe....ukipenda chongo huona kengeza! Ukipenda pengo huona mwanya
Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi.
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-Ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache.
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita.
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi.
ina maana mwandishi amealikwa?Mwandishi alikuwa eneo tukio [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mtu wa Lema huyo mkuu!
Hatari! 12,500,000 wote hao? Usikute hata wakina MOTOCHINI wapo kwenye kundi hilo ndio maana hawajamuelewa mshana jr anamaanishi nini kwenye hoja hii na wanaishia kumkejeliMshana unashangaa kuwepo maamuma wa taarifa hiyo? hii hesabu rahisi kabisa huijui? Katika kila Watanzania wanne, mmoja ni kichaa. Tanzania ina watu takribani 50,000,000. Hivyo 1/4 ya 50,000,000 ni 12,500,000. Vichaa milioni kumi na mbili na nusu😀😀😀😀😀😀...hawa ndio wanapigia vigelegele uchafu wowote ili mradi umefanywa na mabwana wakubwa
Hyo aliyeripot habar hyo n boya m nlodhan katembea kilo mta tan kumbe mita mia mbili? Hapo ndo kaokoa mamilion? Mfyuuuuuu mijitu mingine bana tushawachoka na kiki zenu zisizo na tijaIsichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi.
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-Ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache.
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita.
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi.
Ndiomaana mimi wakati mwingine sitakagi kuongea.
Sasa mtu kama katembe kutoka mwisho wa uwanja wa mpira na katembea hadi kwenye gori lingine na kuludi ndio iwe gumzo!