Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Niko China kuhu ni mchanaUna familia kweli wewe!!!
Usiku JF kama popo kutaka nini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko China kuhu ni mchanaUna familia kweli wewe!!!
Usiku JF kama popo kutaka nini!!
Hahaha !!!Niko China kuhu ni mchana
Mwisho wa ku quote ni wapi na maoni yako yameanzia wapi??? Punguza jazba Mkuu.
Umeumbiwa roho ya upendo na uvumilivuHapo chini vipi
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-Ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache.
hata mi nilidhani katokea huku mailimbili mlimani jina jipya mlimwa c kumbe hapo tuuNilivosikia hii habari nilishangaa, at first nilijua ametoka kule mlimani (makazi mapya) mpaka ofisn kwake nikawa namshangaa kweli huyu jamaa, ila kuja kujua ni from pale nyumba ya dodoma hoteli mpaka Tamisemi nikashangaa kwelikweli
wivu wakikeIsichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi.
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-Ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache.
Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita.
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?
Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?
Hii breaking news imeniacha na maswali mengi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]wenda hata mafuta yameanza kukata serikalini.
swissme
😀😀😀😀😀😀😀Mahaba niuwe....ukipenda chongo huona kengeza! Ukipenda pengo huona mwanya
Mkuu vituo vya QT na wanaorudia mitihani ya kdt cha 4 vitajaa. Rasi Simba nae asubiri kuwarejeshea ada.Ndo maana ile sheria inataka waandishi wawe na degree
Nina hakika tangu umeamka hadi sasa hivi haujatembea huo mbali wa mita 200. Tuache kulalamika lalamika kama wanawake.