Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Mtu aliejua gari baada ya kuwa mbunge eti leo iwe habari baada ya kuamua kutembea kwa miguu?! Watadanganya wajinga bali si ukweli kuwa hii ni jambo la manufaa kwa uchumi wa nchi yetu, wangekuwa wanataka kubana matumizi wangetumia bajaji sio yale magari yao ya kifahari.
 
Mwisho wa ku quote ni wapi na maoni yako yameanzia wapi??? Punguza jazba Mkuu.

Hapo chini vipi

Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-Ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache.
 
Umeumbiwa roho ya upendo na uvumilivu
 
chaajabu ni huto tu mita au?kuna watoto chini ya umri wa miaka 10 wanatembea kwa miguu karibu km 9 au10 kufuata huduma ya elimu.hizo mita 200 ni zoezi tu mkuu
 
Nilivosikia hii habari nilishangaa, at first nilijua ametoka kule mlimani (makazi mapya) mpaka ofisn kwake nikawa namshangaa kweli huyu jamaa, ila kuja kujua ni from pale nyumba ya dodoma hoteli mpaka Tamisemi nikashangaa kwelikweli
hata mi nilidhani katokea huku mailimbili mlimani jina jipya mlimwa c kumbe hapo tuu
 
Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi.

Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma Leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea kwa miguu UMBALI WA MITA 200 kutoka makazi yake-Ikulu ndogo ya Dodoma hadi ofisini kwake (zingatia mita 200)akiwa na walinzi wachache.

Kitendo hicho kimetajwa kama kitendo cha aina yake chenye UADILIFU kilichookoa MAMILIONI YA PESA ambayo yangetumika kwenye msafara wa magari yasiyopungua sita.
Tuupinge kwa nguvu zote huu upuuzi, mwendo wa mita 200 katika uhalisia wake mtu anaweza kupanda gari na msafara?

Je kama Leo imeonekana ni ajabu ina maana siku zote ndivyo ilivyo?
Je kutembea mita 200 ni kubana matumizi?
Ni habari za namna gani hizi jamii inapewa?
Ina maana Dodoma leo kuanzia asubuhi hakukuwa na habari nyingine zaidi ya hii?

Hii breaking news imeniacha na maswali mengi.
wivu wakike
 
Nina hakika tangu umeamka hadi sasa hivi haujatembea huo mbali wa mita 200. Tuache kulalamika lalamika kama wanawake.

Sema aache kulalamika kama MAMA YAKO jinga wewe, acha dharau kwa wanawake au unadhani mama yako anavyomlalamikia baba yako asiyetimiza wajibu wake ndivyo walivyo wamama wote?
 
kama hivyobasi RAIS wetu, naye kwenda TRA kutoka IKULU angetumia tu miguu maana ni dakika 10 tu.
 
Hivi waziri mkuu kwenda kazini hata kama ni 1km magari sita za nini?, hivi kweli PM kutembea 200m kwa miguu nayo ni habari ya kutangaza Radioni? Kweli hii nchi imekosa dira kisawasawa.
 
Back
Top Bottom