Huyo Waziri Mkuu, japo ni zao la uovu, angekuwa na hekima japo kidogo, angejishughulisha na upatikanaji wa miili ya marehemu iliyofukiwa huko Kondo na iliyotupwa majini.
Kitendo cha kutothamini uhai wa watu, hata wafanye nini, wataendelea kuthibitisha unafiki wao. Mtu hata akufanyie jambo zuri kiasi gani, lakini kama amekuulia mtoto wako, na maiti yake akaitupa, unadhani hilo itakalomfanyia litakuwa na thamani gani hata uusahau uharamia wake?
Hawa watu hawastahili msamaha maana waliua kwa kudhamuria na kwa kupanga. Hawa ndiyo maadui waku wa Watanganyika, hakuna aliye mwovu kuwazidi hawa watu.