Hivi kwenye hivi vikao kunakuwaga na pombe?
Tatizo la maji Dar lipo miaka nenda rudi, hivi hakuna hata mmoja anayejua hii kero ya maji [POTABLE WATER] ili aelekeze kikao kutatua shida ya maji Dar?
Sasa kama kero obvious kama ya maji Dar hawaijui. Sasa wana discuss nini?
Maji ya kuchukua hapo Rufiji 160 km tu wake zetu wapendeze.
Kama kuna anayejua wanacho jadili atujuze.