Waziri Mkuu ashiriki ibada kanisa kuu Anglikana - Uingereza

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili, Oktoba 11, 2026 ameshiriki ibada katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Paulo, jijini London, Uingereza. Ibada hiyo imeongozwa na Kasisi Paula Hollingsworth.

Mara baada ya kuwasili kanisani hapo, Waziri Mkuu alipokelewa na Mshauri wa Askofu (Canon Chancellor), Dkt. Paula Gooder ambaye pia ni Mdhamini wa Kanisa Kuu na anaongoza programu za elimu na mafunzo ya kitheolojia.

Katika Ibada hiyo, Waziri Mkuu aliambatana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki.
IMG-20261011-WA0054.jpg
IMG-20261011-WA0056.jpg
IMG-20261011-WA0055.jpg
IMG-20261011-WA0053.jpg
 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumapili, Oktoba 11, 2026 ameshiriki ibada katika Kanisa Kuu la Anglikana la Mtakatifu Paulo, jijini London, Uingereza. Ibada hiyo imeongozwa na Kasisi Paula Hollingsworth.

Mara baada ya kuwasili kanisani hapo, Waziri Mkuu alipokelewa na Mshauri wa Askofu (Canon Chancellor), Dkt. Paula Gooder ambaye pia ni Mdhamini wa Kanisa Kuu na anaongoza programu za elimu na mafunzo ya kitheolojia.

Katika Ibada hiyo, Waziri Mkuu aliambatana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki.View attachment 3688586View attachment 3688587View attachment 3688588View attachment 3688589
Aimen 🙏 PM
 
Back
Top Bottom