Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Ulishaambiwa yule jamaa ni kiburi🤣🤣🤣Makamu wa rais aliyefukuzwa hakuwepo?
Labda hakualikwa. Msiba mkubwa kama huo hujipeleki bila mwaliko.Ulishaambiwa yule jamaa ni kiburi🤣🤣🤣
Labda mathayo ya kwenye bhagavad gita.Matendo 7 ya huruma kwa mwili
1.Kuwalisha wenye njaa
2.Kuwanywesha wenye kiu
3.Kuwavika wasio na nguo
4.Kuwajali yatima, wajane na wagane
5.Kuwatazama wafungwa
6.Kuwatazama wagonjwa
7.Kuwazika wafu
Mathayo 25;24
Si mnasema kuna makufuli mlangoni kwake na getini kwake.Ulishaambiwa yule jamaa ni kiburi🤣🤣🤣
Poleni Sana!Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 07, 2026, ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi katika maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Marehemu Hafidh Ameir Hassan amezikwa leo nyumbani kwake Kizimkazi, Zanzibar.View attachment 3665407View attachment 3665408View attachment 3665409View attachment 3665410View attachment 3665411View attachment 3665412View attachment 3665413
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZIKO YA MHE. HAFIDH AMEIR HASSAN
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 07, 2026, ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi katika maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Marehemu Hafidh Ameir Hassan amezikwa leo nyumbani kwake Kizimkazi, Zanzibar.
View attachment 3665370View attachment 3665371View attachment 3665372View attachment 3665373View attachment 3665374
Kwahiyo!WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZIKO YA MHE. HAFIDH AMEIR HASSAN
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 07, 2026, ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi katika maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Marehemu Hafidh Ameir Hassan amezikwa leo nyumbani kwake Kizimkazi, Zanzibar.
View attachment 3665370View attachment 3665371View attachment 3665372View attachment 3665373View attachment 3665374
Jizi na lipenda rushwa lingine limetoa commentMola awape subra, pole sana mama yetu kipenzi🙏
Picha ya abudul iko wapi?Bi mkubwa haonekani kabisa hapo kwa mujibu wa utaratibu wa dini!
🚮 🚮 🚮 🚮Jizi na lipenda rushwa lingine limetoa comment