Waziri Mkuu atembelea Banda la Yas maonesho ya Nanenane 2025

Waziri Mkuu atembelea Banda la Yas maonesho ya Nanenane 2025

News TZ

Senior Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
169
Reaction score
88
JOM_3082.JPG

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea Banda la Yas kwenye Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima maarufu (Nane Nane) yanayoendelea jijini Dodoma.

Maonesho hayo ya Kitaifa ya Wakulima maarufu (Nane Nane) yanaendelea jijini Dodoma ni uthibitisho kuwa Yas na Mixx ni mshirika wa maendeleo kwa wakulima na watanzania kwa ujumla.

Lakini pia, kwa kutoa suluhisho rahisi, salama na jumuishi katika mawasiliano na miamala ya kifedha.

“Tunayo furaha kubwa kutembelewa na viongozi, wageni na wadau mbalimbali kwenye banda letu katika maonesho ya Nanenane 2025, akiwemo Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa,”.

Mara baada ya kutembelea Babda hilo, Waziri Mkuu alipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya kati, Charles Gasper.

Yas na Mixx, zimejipambanua kuwa mshirika wa maendeleo kwa wakulima na wananchi kwa ujumla kwa kutoa suluhisho rahisi, salama na jumuishi katika mawasiliano na miamala ya kifedha.

“Yas na Mixx tupo na wakulima kwenye safari yao ya mafanikio,”.
 
Kwenye mabwawa ya samaki hakufika.. huku chini
IMG_1285.jpeg
 
Kuna Ng’ombe mmoja nimemuona ana thamani ya 10m na ndama kwa 3m

Ila sikufurahia kwa kweli, thamani yake na alivyo mchafu

Yaani hata kumuosha aisee
Hivi hawaoni maonyesho ya mifugo nchi zingine wanavyo waandaa mpaka mikia Ina chanwa? 😜
 
Back
Top Bottom